Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

umetoa somo zuri mkuu mimi mwenyewe nilikuwa na wazo hilo ,so next stop ni odd chache weka stake kubwa naamini tutatoboa
 
booom, siku ya kwanza tayari, tukutane kesho tena.
 

Attachments

  • 超级截屏_20250216_184432.png
    221 KB · Views: 2
day 1. ✔🙏
 

Attachments

  • 超级截屏_20250216_184432.png
    221 KB · Views: 2
1xbet wamenipa Registration Anniversary free bet ya mkeka wa kuanzia game 3 na kila game odd zianzie 1.4
Sh 95,000

Cha ajabu ni kwamba hakuna mwaka ambao nimewahi ku win hii free bet
Kila mwaka na lost game moja kati ya tatu 😳
Wewe sawa na mimi toka mwaka 2018 nalost tu ila nimekuja kubahatisha mwaka huu na nilivyokula nikatoa yote.
 
kama kuna aliefuata hongera yake
 
Mmeamkaje wakuu?

tunaendelea na 2 odds
jana day 1 - 1000x2 =2000✅
leo day 2 - 2000x2=4000
wacha nimalizie uchambuzi niwaletee, cas match za j3 hua ngumu balaa😅

but tutapita fresh inshallah🙏
 
S
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…