Naona upo na upepo wa live
Mwanzo mzuri π₯π₯π₯Ni cash out au maana sina hata pesa leo π€‘ ngoja niuwache nikikosa basi
Hizi za kuweka options zaidi ya moja zipo kwenye kampuni za mrusi tu na zilizo nzuri hapa bongo ni Linebet,888starz,betwinner na helabet..na za hapa nyumbani kidogo Parimatch wanarusu kuweka options nyingi ila sio kwa mechi zote kama hao warusi.Naombeni msaada namna ya kuweka masoko mengi kwenye mechi moja.
Mfano game hiyohiyo moja
1.double chance
2. Magoli (over/under)
3.corners
4. Fouls nk
View attachment 3245021
NBA ππ ON PARIPESA
Codeπ UV9GG
Register On PariPesa Via Links Below. Use Promo Codeπ TIPS2424
Register Here π
https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
π―You Get 300,000 When You Register Using Promo Code TIPS2424 And Deposit For First Time.
Jicho la leo
Man U kwasasa hatabiriki kabisaaaaaa, muombe bao moja tu
Away team Over 0.5
Odd 1.45
Aseno wako vizuri wanacheza na mchovu West Ham mwenye ukuta mbovu
Muombe Aseno bao 2
Home team Over 1.5 Odd 1.44
Atletico Madrid ana form nzuri na kutokana na Madrid na Barca kuangusha angusha alama kunamfanya anakaza sana labda anaweza kuambulia ubingwa
Mfuate kwa Double chance
2X Odd 1.25
Mamelodi Vs Ts Galaxy, hapa hakuna kumungunya maamamuzi nikumfuata Mamelodi mazima ukizingatia yupo nyumbani
Home team Win. Odd 1.6
Les Parma wako hoi ni ngumu kuzuia mziki wa Barca anasukumana na Madrid na Atletico kwenye mbio za ubingwa La Liga
Mfuate Barca mazima
Away team win Odd 1.24
Jumla Odd 5+
A5ALG - 1Xbet Code
Tia mzigo kisha subiri maajabu ya matokeo ya mpira ili uje kunishukuru/laumu maadae π
Always stake what you can afford to lose πππ
Mkuu Tunaambiwa tusichanganye mahaba ya timu zetu na betting lakini HATUKOMI πMkuu mkeka wako hauwezi kukosa Man U siku akicheza ππ
Jicho lako la leo limeanza na Man U π€£