Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Barcelona waki....nge yani, nasubiria laki 4 hapa alibaki yeye tu halafu mpaka dakika 80 anaongoza 4-2, nikajua imeisha hiyo, nikaja Jf kuangalia makamaria wanasemaje, nina uhakika mzigo unaingia... Narudi kuangalia mkeka 4-4 daaaah
Wiki mbili zilizopita Liverpool alinifanyia hivyo hivyo. Mpaka dakika ya 91 alikuwa anaongoza nikajuà imeisha hiyo nikawa naendelea na mambo yangu.
Kuja kucheki 2:2.
Kumbe walichomolewa dakika ya 90+8.
 
View attachment 3249283
Code👉 D86H4

Tumia Promo Code👉 TIPS2424 Upate Bonus Ya 300,000 Bure Ukideposit.

Jisajili PariPesa Hapa 👇

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code👉 TIPS2424

1.7 MILLION BOOOOOOOM ON PARIPESA ✅✅✅✅💯💯

3 ODDS BOOOM ✅✅✅✅✅

Jisajili PariPesa Kupitia Link Hizo Hapo Chini. Tumia Promo Code👉 TIPS2424

Jisajili PariPesa Hapa 👇


https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Utapata TZS 300,000 Ukijisajili Na EPromo Code 👉 TIPS2424
T
elegram Jiunge Hapa👉 Kayombo Tips ⚽🥎🏈🎾🎱🏀
 
Kiongozi hiyo option ya Celtic namba nielekeze...ya home 2up
Maana yake home akipata mabao mawili mfululizo tayari mkeka unakuwa umetiki hata kama mechi aijaisha hata kama mechi ikiisha home imefungwa 2-6
Tazama hiyo mechi ya Barcelona imeisha 4-4 na niliweka home win 2Up mkeka ukatiki
 
MKEKA WA LEO SIKU YA PILI

1. KILMARNOCK FC VS GLASGOW RANGERS =
BET GLASGOW MSHINDI

2. SHIMIZY S-PULSE VS SANFRECCE HIROSHIMA =
BET SANFRECCE HIROSHIMA ANASHINDA

3. PALLACANESTRO CANTU VS LIBERTAS LIVORNO =
BET PALLACANESTRO CANTU ANAZIBUA MTU

4. JUVENTUS VS EMPOLI
= BET JUVENTUS MSHINDI

5. VISSEL KOBE VS KYOTO SANGA
= VISSEL KOBE ANASHINDA GAME HII

GAME ZOTE ZA JANA ZILIISHA NA USHINDI IKIWEMO CHELSEA KUSHINDA, AL HILAL NA CELTIC KUMZIBUA MTU BAO 7
TUONE LEO MZIGO UPOJE.
 
Barcelona waki....nge yani, nasubiria laki 4 hapa alibaki yeye tu halafu mpaka dakika 80 anaongoza 4-2, nikajua imeisha hiyo, nikaja Jf kuangalia makamaria wanasemaje, nina uhakika mzigo unaingia... Narudi kuangalia mkeka 4-4 daaaah
Hapa ndiyo faida ya kubetia SPORTYBET tusi zarauu hii kitu inaokoa huu mkeka hiyo mechi ya Barcelona ingenichania UP imeniokoa
 

Attachments

  • Screenshot_20250226-094211_SportyBet.jpg
    133.9 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250226-074936_SportyBet.jpg
    94 KB · Views: 2
Danganya toto maana hapo kuna nakato ya kodi vat kitu kama 18% labda hiyo kampuni iwe haina komakato ya kodi😁😁😁😁
 
Everton gg
Arsenal ov 2.5..safe 1.5
Man city 2+
Liverpool 2+&mo...to score
Rmadrid win
Cska Sophia win
Slavia p 2+
D Zagreb 2+
Aalborg 2+
Mazembe w
Al ahly 2+
El Ismail win or drw
Belgium w 2+
Wrexham 2+
Psg 3+
Wolfsborg 3+
Kitchen 2+
Ark Athens win
Fjlnir 2+
East bangai 3+
Al minaa gg
Al qassam gg
Otranta wi
Bolkeji win
Psv win
Enyimba 2+
Larne 3+
Plateaued UTD win
Rayon sport win
Al ryadh win
Dundee UTD 2+
Motherwell 2+
Rangers win
Kagera UTD drw
Mashujaa drw
Fountaine gate 2+

All d best

Pick ur lucky
 
Sasa iyo kodi inazuia nini? Alafu nikudanganye ile nipate nini kama wewe huamin sikulazimishi
Ukiweka sh 100000 kwenye mkeka wa odds 1.12 ukitiki unakula china ya 100000 uliyo weka baada ya makato ya kodi unajikuta umekula sh 86000 labda uwe na maana nyingine ambayo sijaelewa
 
Sikujua kua nabishana na small minded person basi umeshinda boss.

( MJINGA MPE CHEO)
Kama ulimaanisha mashine ilikuwa inatumia hela hiyo hiyo kufotoa mikeka utakuwa sawa unacho sema tatizo litakuja kwenye kupewa hela ule mkeka wa kwanza ndiyo ukakao lipwa
 
ATAELEWA TUU KUWA KAFIKIRI

Cost of Living in Uganda

MarketsEdit
Milk (regular), (1 liter)2,443.37 USh1,500.00-4,000.00
Loaf of Fresh White Bread (500g)4,498.48 USh2,500.00-6,000.00
Rice (white), (1kg)4,876.92 USh4,000.00-6,000.00
Eggs (regular) (12)6,517.19 USh4,800.00-12,000.00
Local Cheese (1kg)16,299.86 USh6,000.00-30,000.00
Chicken Fillets (1kg)17,421.05 USh8,099.04-29,389.29
Beef Round (1kg) (or Equivalent Back Leg Red Meat)15,086.96 USh13,000.00-18,000.00
Apples (1kg)9,902.90 USh5,000.00-15,000.00
Banana (1kg)5,334.21 USh3,000.00-8,099.04
Oranges (1kg)6,756.19 USh3,000.00-15,000.00
Tomato (1kg)5,444.55 USh3,000.00-10,000.00
Potato (1kg)5,186.69 USh2,000.00-10,000.00
Onion (1kg)6,255.12 USh3,000.00-10,000.00
Lettuce (1 head)3,571.43 USh1,500.00-6,000.00
Water (1.5 liter bottle)2,045.45 USh1,500.00-3,000.00
Bottle of Wine (Mid-Range)40,000.00 USh20,000.00-65,000.00
Domestic Beer (0.5 liter bottle)4,205.88 USh3,000.00-5,000.00
Imported Beer (0.33 liter bottle)7,192.31 USh4,000.00-14,694.64
Cigarettes 20 Pack (Marlboro)10,000.00 USh5,000.00-20,000.00

Transportation
Edit
One-way Ticket (Local Transport)3,000.00 USh2,000.00-5,000.00
Monthly Pass (Regular Price)135,000.00 USh0.00-173,913.04
Taxi Start (Normal Tariff)2,500.00 USh2,000.00-10,000.00
Taxi 1km (Normal Tariff)1,000.00 USh1,000.00-3,000.00
Taxi 1hour Waiting (Normal Tariff)15,000.00 USh5,000.00-25,000.00
Gasoline (1 liter)5,302.69 USh5,000.00-6,000.00
Volkswagen Golf 1.4 90 KW Trendline (Or Equivalent New Car)32,500,000.00 USh25,000,000.00-35,000,000.00
Toyota Corolla Sedan 1.6l 97kW Comfort (Or Equivalent New Car)32,900,000.00 USh30,000,000.00-37,500,000.00
Restaurants
Edit
Range
Meal, Inexpensive Restaurant
10,000.00 USh​
5,000.00-15,000.00
Meal for 2 People, Mid-range Restaurant, Three-course
90,000.00 USh​
60,000.00-150,000.00
McMeal at McDonalds (or Equivalent Combo Meal)
33,736.50 USh​
25,000.00-36,736.61
Domestic Beer (0.5 liter draught)
5,000.00 USh​
3,000.00-7,000.00
Imported Beer (0.33 liter bottle)
10,000.00 USh​
7,000.00-15,000.00
Cappuccino (regular)
9,667.94 USh​
6,000.00-15,000.00
Coke/Pepsi (0.33 liter bottle)
1,666.67 USh​
1,000.00-3,000.00
Water (0.33 liter bottle)
1,107.14 USh​
1,000.00-2,000.00




Utilities (Monthly)Edit
Basic (Electricity, Heating, Cooling, Water, Garbage) for 85m2 Apartment151,388.89 USh80,000.00-240,000.00
Mobile Phone Monthly Plan with Calls and 10GB+ Data54,466.67 USh30,000.00-100,000.00
Internet (60 Mbps or More, Unlimited Data, Cable/ADSL)257,777.78 USh120,000.00-500,000.00

Sports And Leisure
Edit
Fitness Club, Monthly Fee for 1 Adult148,750.00 USh75,000.00-240,000.00
Tennis Court Rent (1 Hour on Weekend)19,000.00 USh10,000.00-36,000.00
Cinema, International Release, 1 Seat23,500.00 USh18,000.00-40,000.00

Childcare
Edit
Preschool (or Kindergarten), Full Day, Private, Monthly for 1 Child442,222.22 USh300,000.00-1,000,000.00
International Primary School, Yearly for 1 Child13,375,000.00 USh6,000,000.00-28,000,000.00

Clothing And Shoes
Edit
1 Pair of Jeans (Levis 501 Or Similar)63,000.00 USh30,000.00-80,000.00
1 Summer Dress in a Chain Store (Zara, H&M, ...)48,750.00 USh30,000.00-120,000.00
1 Pair of Nike Running Shoes (Mid-Range)122,222.22 USh70,000.00-200,000.00
1 Pair of Men Leather Business Shoes184,444.44 USh100,000.00-300,000.00

Rent Per Month
Edit
Apartment (1 bedroom) in City Centre1,227,272.73 USh500,000.00-2,543,822.07
Apartment (1 bedroom) Outside of Centre711,538.46 USh400,000.00-1,500,000.00
Apartment (3 bedrooms) in City Centre3,355,555.56 USh1,200,000.00-7,500,000.00
Apartment (3 bedrooms) Outside of Centre1,338,461.54 USh700,000.00-3,000,000.00

Buy Apartment Price
Edit
Price per Square Meter to Buy Apartment in City Centre4,113,880.53 USh3,600,000.00-4,741,641.60
Price per Square Meter to Buy Apartment Outside of Centre3,584,000.00 USh2,720,000.00-3,800,000.00
 
Kama ulimaanisha mashine ilikuwa inatumia hela hiyo hiyo kufotoa mikeka utakuwa sawa unacho sema tatizo litakuja kwenye kupewa hela ule mkeka wa kwanza ndiyo ukakao lipwa
Daah! Kwani hapa mtu akituma code ya mkeka na mkeka ukashinda analipwa yeye tu? Alafu kumbuka kua system iliyumba.
 
Maana yake home akipata mabao mawili mfululizo tayari mkeka unakuwa umetiki hata kama chechi aijaisha hata kama mechi ikiisha home imefungwa 2-6
Tazama hiyo mechi ya Barcelona imeisha 4-4 na niliweka home win 2Up mkeka ukatiki
Ahsante sana kiongozi..nimekuelewa
 
Ukiweka sh 100000 kwenye mkeka wa odds 1.12 ukitiki unakula china ya 100000 uliyo weka baada ya makato ya kodi unajikuta umekula sh 86000 lgngabda uwe n⁶a maana nyingine ambayo sijaelewa
100,000 × 1.12 = 112,000

112,000 (gross total) -100,000 (investment) = 12,000 (profit)

12,000 (profit) - 10% (TRA) = 10,800 (winning profit)

100,000 + 10,800 = 110,800

Kwa hiyo kwa odds 1.12 atapata 110,800

Cha kuelewa kodi inakatwa kwenye ushindi na siyo pesa uliyoweka.

Hata ubeti odd 1.02 kwa stake ya 100,000, na ukakatatwa kodi 10%, kamwe huwezi kupata chini ya 100,000. TRA wanapambana kwenye 1.02, hawaigusi 100,000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…