Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo



Aiseee unatuandikia madudu gani?
Au unataka kuleta Ujumbe gani?

Unaandika vitu havieleweki
 


Naona jamaa umeamua upaki gari yako kabisa ubishane hahaha

Tena Kwa data na calculations
 
Umenikumbusha Yale ya weka Simba win uwe millionaire wewee naijua hii

1.60
 
Nimeenda kukagua ni kweli wanakata kwenye ushindi
 
TAHADHARI
Kwa kawaida game zenye timu pendwa na favorite kushinda zikiwa nyingi kwa siku tamaa ina waka na unajikuta umejaza game kibao kwenye mkeka, timu moja tu ikiharibu mikeka chaliii

All the best wakamalia
 
N
Idondoshee what's App number ap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…