Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


BOOOOMMMM βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…

616K Paid Out βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…

Jisajili MEGAPARI Hapa πŸ‘‡

https://cutt.ly/owZOBkve

https://cutt.ly/owZOBkve

Promo CodeπŸ‘‰ TIPS2424

Pata 250000 Kwa Kujisajili Megapari Na Kuweka Promo Code TIPS2424 Na Kudeposit Kwa Mara Ya Kwanza.
 
Hizi ushawah kufikiria au kutafuta Loophole kwenye Hizi bettings?.

Ni kweli hakuna Betting sites ambayo ina mianya kidogo ambayo inaweza kurudisha hela yako hata nusu kama ukiliwa??.
 
Sidhani kama zipo
Tusumbue vichwa,
Kuna loophole tu sehem . Tena hela hailiwi kabisa.

Mfano huu hela inaliwa ila inarud nusu.

Basketball ya leo mchana.

Weka Mikeka mitatu separate
1. 1.77 * 500 = 885 (kabla ya Kodi)
2. 1.95 * 500 = 975 (kabla ya Kodi)
3. 1.73 * 500 = 865 (kabla ya kodi)
Jumla stake 1,500

Basket haina draw hivyo kama matokeo yakitoka over 194.5 bas unakula
885 + 865 = 1,750 au 975 + 865 = 1,840

Changamoto iko
1. Watakata kodi (labda ubetie sites ambazo hazikat kodi)
2. Akitoa under bas unapata either 885 au 975 na hasara inakuwa 1/3 ya stake.



 
Hizi ushawah kufikiria au kutafuta Loophole kwenye Hizi bettings?.

Ni kweli hakuna Betting sites ambayo ina mianya kidogo ambayo inaweza kurudisha hela yako hata nusu kama ukiliwa??.
Arbitrage
Sema faida inaweza kuwa ndogo saaana sio hiyo 50% unayosema. Mechi zenyewe zenye loophole za kutafuta kama bikra.

Tunaona bora twende kwenye uwanja wa vita kavu kavu. Aidha mwindi ale buku yangu au nile elfu kumi yake kwa buku langu.

Pia inatakiwa utumie kampuni 3 tofauti kwenye mechi hiyo hiyo.
Kampuni zote unazotumi zisiwe na kodi kabisa kwa sababu ukikatwa kodi watakuwa wameharibu mahesabu kabisa.
 

Ngoja niifanyie research hii arbitrage.

Mm natafuta namna nikiweka option 3. Iwe isiwe 2 lazima ziland na hizo 2 zinipe faida hata kama ni 10%.
Ila iwe ni uhakika. Au kama zikinila bas nusu ibaki.

Hiyi ya juu bado, under itanila zaid ya nusu.

Ni kazi kubwa ila no way out. M in...
 
Shida ni kuwa tuna greed sana.

Odds 10 mtu anaona ndogo.
 
Ukifikia hatua hii kwenye betting unatakia upumzike ku_bet kdg mkuu!!otherwise naona tatzo la afya ya akili linakujia
 
Ukifikia hatua hii kwenye betting unatakia upumzike ku_bet kdg mkuu!!otherwise naona tatzo la afya ya akili linakujia
Betting sijaanza siku nying.
Na wala haijanila hela nying.
Ni kama hizi za bia tu.

But mm huwa napenda kufikiria nje ya box.
Ambayo watu weng hawafikirii including ww.

Watu wote Dunian waliofanikiwa kwenye kitu chochote ni wale waliowaza tofauti.

Ila mediocre kama ww daima utabak ulipo
 
Jamani nauliza tangu jana game za EUROPE zimeisha LINEBET mpka sasa hawaja weka matoke ya PLZEN VS LAZIO nilicheza Faulo n zimetoa game zote 16 lkn hii game hawataki kuweka matokeo ili walipe pesa yangu
 

Attachments

  • 20250307_100355.jpg
    75.2 KB · Views: 30
Jamani nauliza tangu jana game za EUROPE zimeisha LINEBET mpka sasa hawaja weka matoke ya PLZEN VS LAZIO nilicheza Faulo n zimetoa game zote 16 lkn hii game hawataki kuweka matokeo ili walipe pesa yangu
Kuna kitu leo nimefikiria.
Hizi Kampuni tanzu za so called Warussi ambazo 95% zinafanana ila tofauti iko kwenye Themes. Ni Janja Janja tu ..

Na Hawakat Kodi coz nadhani Serikali haijawapa bado Kibali. Kwahiyo VAT hawana.

Ni mtu au kikund cha watu ambao wameomba uwakala au kumiliki hizo themes kwa majina tofauti. Na ndio maana kuweka au kutoa hela inachelewa coz lazima ulipia kwa Lipa Namba /mawakala nk na uonyeshe Screenshot alaf wao wakiona hela na screenshot ndio wakuwekee.

Kilichotokea kwako ni kuwa wameona game ya mwisho imetiki, wakakaa kimya. Maana wakiipa tiki, bas wataachia hela muda huo huo.

Vuta subra, wataweka tiki na kukuwekea mpunga wako.
 

CodeπŸ‘‰ 29K86

Jisajili PariPesa πŸ‘‡. Promo Code Weka NenoπŸ‘‰ TIPS2424

Jisajili Hapa πŸ‘‡

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo CodeπŸ‘‰ TIPS2424

Tumia Promo CodeπŸ‘‰ TIPS2424 Upate Bonus Ya 300,000 Bure Ukijisajili Na Kudeposit Kwa Mara Ya Kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…