Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Kumbe kumbenaKumbe
Kumbe kumbenaKumbe
Mbetiji inabidi uwe unafikiria kama wewe.Betting sijaanza siku nying.
Na wala haijanila hela nying.
Ni kama hizi za bia tu.
But mm huwa napenda kufikiria nje ya box.
Ambayo watu weng hawafikirii including ww.
Watu wote Dunian waliofanikiwa kwenye kitu chochote ni wale waliowaza tofauti.
Ila mediocre kama ww daima utabak ulipo
Na huo ndo ukweli,always the house winsMbetiji inabidi uwe unafikiria kama wewe.
Hiyo mianya kuna muda huwa inatokea kwenye live beting. Ila huwa inakuwa na manufaa kama ulishabet pre match kwenye game husika.
Hapo unakuwa umemweka mhindi mtu kati kwa option ulizochagua.
Vyovyote itakavyokuwa unakula hela.
Ila ufahamu kuwa njia nyingi tunazoeikiria kubeti, bookie walishaziona na kuweka odds za kuwa-favor wao.
Kuna Loophole . Nimegundua leo.Na huo ndo ukweli,always the house wins
Kampuni gani mkuu5P2HTJ kipengele muhindi tu😂😂sb
Hii ni kweli mimi ilibidi nijipe likizo kidogo japo nilipanga miezi miwili ila ata kwa week 4 tu unarudi mzima zaidi hii kazi tulioichagua sio mchezo inaweza ikakuua😂😂Ukifikia hatua hii kwenye betting unatakia upumzike ku_bet kdg mkuu!!otherwise naona tatzo la afya ya akili linakujia
SportybetKampuni gani mkuu