Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Betting inanifilisi kila siku hata odds 1.50 imenishinda, mikeka inachanika wezangu huwa mnafanyaje labda Mimi nakosea jinsi ya kubet na huwa sina tabia ya kuifata timu mazima hata Kama Ina odds ndogo vp natumia dc na magoli tu mipira ya kurusha faulo lakn Hali n mbaya tu kila cku lost Tena odds ndogo ndio zinaongoza kwa kuchana
IMG-20230309-WA0000.jpg
 
Betting inanifirisi kila cku ata odds 1.50 imenishinda mikeka inachanika wezangu huwa mnafanyaje labda Mimi nakosea jinsi ya kubet na huwa cna tabia ya kuifata zimu mazima ata Kama Ina odds ndogo vp natumia dc na magoli tu mipira ya kurusha faulo lakn Hali n mbaya tu kila cku lost Tena odds ndogo ndio zinaongoza kwa kuchanaView attachment 2543191
Unashindwaje mwanawane wakati unampa yanga tuu
 
Back
Top Bottom