Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kwa sasa nipo gallsport ya kariakoo kamata hapa ghorofani baadhi ya vijana wamechoka ile mbaya hadi nawaonea huruma.
Huwa wana ndoto za muda mfupi pale wakiwa wanabet. Ile pesa inayoonyeshwa atashinda anaipigia mahesabu na kujipa faraja kabisa.

Ikibuma anasikitika kama vile ile pesa alishaishika mkononi.
 
Back
Top Bottom