Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,420
- 92,254
Wanatia huruma kweli....akiwa mumeo ndo anaomba Hela mboga akabetiebaadhi yao hata kula ni shida.
Wanatia huruma kweli....akiwa mumeo ndo anaomba Hela mboga akabetiebaadhi yao hata kula ni shida.
Kama unapendelea kubet timu nyingi kwa stake ndogo basi bet mechi moja tu kutoka katika ligi hizi Tanzania,China,Brazil,South Africa,Misri,Urusi,Serbia na Marekani hizi nchi kuna timu zinaweza zikacheza hata mechi nane bila kupoteza hata moja kwahiyo ulifanya analysis nzuri ya mechi na kuangalia position za timu husika kuna uwezekano wa kula ingawa napo ni kwa asilimia 50%Betting inanifilisi kila siku hata odds 1.50 imenishinda, mikeka inachanika wezangu huwa mnafanyaje labda Mimi nakosea jinsi ya kubet na huwa sina tabia ya kuifata timu mazima hata Kama Ina odds ndogo vp natumia dc na magoli tu mipira ya kurusha faulo lakn Hali n mbaya tu kila cku lost Tena odds ndogo ndio zinaongoza kwa kuchanaView attachment 2543191
Watu wanapiga bro. Sema hela sio ya kujenga. Ila nimeona mil 3 mwanangu kapiga ndio kubwa nilioona zingine ni izi 50 laki ngp izo nyingi.Aliyewahi kushinda betting akatajirika aje hapa
Wee jamaa una chalee balaaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Yani kanji itakua anajuta kutoa hiyo cashout
Betting siku ukibeti ndo unapasukaMmi natengeneza odds 2 tu lakin bado napasuka, first nilishaweka under 2.5 lakin bado nikapasuka
Kuna muda inabidi ufanyie kazi mawazo yako. Ujue baada ya away team kupata goal nikaona home team inashambulia kwa kasi sanaWee jamaa una chalee balaaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Yani kanji itakua anajuta kutoa hiyo cashout
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nyeto na bet ni mawakala wa shetaniMwanaume rijali na aliyekamilika ni lazima apige punyeto au betting au vyote kwa pamoja.
Mimi nimeamua kufanya vyote kwa pamoja.
In Summary[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nyeto na bet ni mawakala wa shetani
Kinakushangaza kip mkuu. Hiyo ndo double chance kama hujuiHivi hawa jamaa wa sportpesa wanatuzingua yaani jackpot ya 13 , matokeo droo 9 kati ya mechi 13 na kuna washindi wa mechi 12, 11 na 10!!?View attachment 2542680View attachment 2542681
Mkuu hiyo haitabiriki wazee wa TRC na TAZARA hatugusi hizoWazee wa matreni Sijui mmeziona hizooooView attachment 2542855
Wamesema betting haramu kwahiyo hatuleti tenaLeteni code betpawa
Kumbe nawe upo humuuuuuKumbe