Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,420
- 92,254
Nawewe unabet😄
🤣🤣🤣🤣💪💪Nawewe unabet😄
Kweli mmedhamiria 50/50 😁🤣🤣🤣🤣💪💪
Vitu vitatu kwenye picha moja 😂In SummaryView attachment 2543326
Kumbe watu tuna fanana sana aisee😅😅😅😂 kuna kipindi nilikua nafanya hivi kupunguza machungu
Unalinda mkeka hadi saa 7 usiku alafu unachanika, unaona bora uingie livescore ya kikubwa
Hakuna namna nyingine mkuu😂Kumbe watu tuna fanana sana aisee😅😅😅
Football Live Streaming AppApp gani nzur ya ku stream mechi wakuu?
hii inagoma chief hakuna kituFootball Live Streaming App
I Would like to share this with you. Here You Can Download This Application from this link
Hongera mkuu LIVE zinanikaushaga sana
UMekaa poa sana ila hizi za over nimetokea kuzichukia maana ndizo zinaongoza kunilaza na viatu.4FE7CEB betpawa[emoji581][emoji2927] stake afu fanya kama ume sahau next week chungulia ukanywe supu [emoji41]
Unakuta umeliwa amsini au laki kabisa, afu mi nikiliwa naanda bajeti nyingine naenda zangu club napiga vikali afu sina time na mtu, wala shobo, unashangaa demu kajisogeza kwako eti kaka mambo hivi samahani umeona sijui nini mezani nilisahau kumbe anataka union afu mi simuwazi yaani nikiwa moodless ndiyo huwa nakulaga pisi😁Hakuna namna nyingine mkuu😂