Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wazee wa matreni tusikate tamaa pesa zipo, tumeni code wadau , hii sio kazi lakini bahàti nasibu maybe one day yes...
Screenshot_20230309-221843_1.jpg
 
Jamani wakuu aliyewahi kukutana na hii changamoto anielekeze cha kufanya au niwapigie tu makao makuu mikeka yangu yote imefutika BetPawa na hata account yangu ilikuwa na salio LA 10000 halipo nimelogi in account inakuja yangu ileile Ila hakuna chochote kilichopoView attachment 2543830
Screenshot_20230310-053427.jpg
 
Back
Top Bottom