Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aisee
Screenshot_20230310-053434.jpg
 
Haujawahi kufungua akaunti nyingine kweli abayo hukuwahi kuwekea mkeka?
Amini mkuu sijawahi kufungua account nyingine yoyote na mida ya saa 11 asubuhi ya leo niliweka mkeka wa 9000 ilipofika saa 11:30 asubuhi ya Leo naingia tena kwenye account nitoe mkeka mwingine ndio nakutana na hicho kisanga
 
Muachage ufala bas, si uwapigie customer care wao unajiliza nn
 
Mkuu ishu sio kujiliza kabla ya kupiga makao makuu ni muhimu kushare changamoto kama hizi na wana Coz inapomkuta mwingine asiweweseke sana sasa wewe sijui kinachokukwaza ni nini? hili ni kundi LA wanaobet lazima kushare aide za mikeka pia na hata changamoto zinazotokea kisha ndio maamuzi mengine ndio yanafuata.
 
Bado ni ufala+ umeandika, kanywe chai baadae nitakurefund uendelee kubeti
 
Fiorentina vs sivasspor niliwaomba over 1.5 mmeshindwa kabisa kuniletea dah yaaani asubui hii ingekuwa kicheko bali kimegeuka uzuni baada ya mechi moja kati ya 10 kuchana
 
Back
Top Bottom