Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Unakuta umeliwa amsini au laki kabisa, afu mi nikiliwa naanda bajeti nyingine naenda zangu club napiga vikali afu sina time na mtu, wala shobo, unashangaa demu kajisogeza kwako eti kaka mambo hivi samahani umeona sijui nini mezani nilisahau kumbe anataka union afu mi simuwazi yaani nikiwa moodless ndiyo huwa nakulaga pisi😁
Mimi nikishachana huwa sina habari na mtu kwa lolote hasa usiku
 
Kanji Famasihara [emoji38] nin
Screenshot_20230309-224024_1.jpg


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
hii inagoma chief hakuna kitu
Twitter zipo link kibao, nenda search football live then utapata link.
Mm natumia Twitter kama site yangu ya kuangalia live matches na video za wakubwa 😁
 
Back
Top Bottom