Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi hawa jamaa wa sportpesa wanatuzingua yaani jackpot ya 13 , matokeo droo 9 kati ya mechi 13 na kuna washindi wa mechi 12, 11 na 10!!?
Screenshot_20230309_085847_Facebook.jpg
Screenshot_20230309_044542_Chrome.jpg
 
Option gani ambayo kaweka betPawa uliyoiweza kwa 100% Ila we ndio muoga mkuu kama tumeishidwa OV 0.5 hata ije option gani ni kipigo tu bonus anazotoa mkuu zinatosha maana bonus nyingi na kuliwa kwingi
Princess bet walikua na option ya no red cards .lakini nayo inapita na watu
 
TUKuTane tarehe 12 kwenye mechi ya Yanga vs Geita Gold....
Mechi za katikati hapa hazitabiriki.

Ukitaka kufanikiwa kwenye hili game usiwe una bet kila siku na kila mechi
 
Wakuu utabiri huu umekaaje? Kabla sijazika pesa mawazo yenu tafadhali nia yetu ni ushindi
IMG_2706.jpg
 
Back
Top Bottom