DAH AISEE NATAMANI NINGEKUPA ODD 5Meridian huwa hawana code kama makampuni mengine...ngoja nami nitakuwa nashare screen shot before the game..huu wa jana wonView attachment 2539109
Asante SANAMhhh,Wanyaturu mmeanza lugha zenu.
Kampuni zote zenye Cashing out button unaweza ku cash kwa wanavyotaka wao,sio wewe
Hakuna Kampuni yoyote unayoweza ku Cash out unapotaka wewe
Ku promote kivipi mzee mbona watu kibao wana share mikeka yao hao pia wana promote?Una kazi sana ya kulipromote hilo kampuni lako,ila humu watu wana makampuni yao pendwa.Kama kweli we better jaribu zingine kana 1xb,pari,sportbety,betpawa ndipo utatushawishi,lakini huko uliko humpati mtu humu.
Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Ndio njia realistic ya kumpiga hela mhindi, japo ni hatari mwanzoni ila ukishapata mtaji wako unakuwa huna cha kupotezaUnaua siafu na nyundo mkuu ni lazima afe, asipo kufa basi umekwepesha nyundo akaponyoka....ila daaah betting yako ni kama kazi....
Wazee wa fixed match haoHii nayo ilikuwa ngumu kumeza maana ana zaid ya odds 400
Fixed .match hizo mzeeKuwa makini angalia odds na stake kama Una uzoefu wa betting nadhan umeelewa
Asante kakampe horoya
odds 3.24
weka laki 1 zima simu..... amka saa 3 na laki 3 yako safi.
Upo vizuri.Ndio njia realistic ya kumpiga hela mhindi, japo ni hatari mwanzoni ila ukishapata mtaji wako unakuwa huna cha kupoteza
Mimi nime nilipiga laki 8 kwa kubeti hivyo mara 3, sasa hiyo laki 8 ndio nitaigawa niwe nabeti kiasi cha wastani kwenye mechi za uhakika
Formula hii ni kwa mechi za champions league tu, sio ligi
Unajua Sportbety watu wao wa IT wapo vyema mnooo kulinda taasisi yao.dk ya 90+ ndio anaachia cashout, pumbafu kabisa sportybet...
sichukui hiko kihela kuleni tu,
hawa wajinga ni kuwahama tu
Kwa walitoumia hizi codes zangu jana tumetusua tena mikeka minne kati ya 6.F549CC5
C0A1476
03C3F45
F079C28
D0CD771
F5FE89E
Betpawa. Mikeka 6 ya jana nilikosa miwili tu. Kila la heri
League hii kwa over 1.5 inaongoza,utafiriria league ya UgirikiKAZI IENDELEE HIZI LIGI ZA AMERICA TAMU SANA
Oy hii ni ligi juu ya soka America au?AMERICA KWEPESI SANAView attachment 2541199
Nimependa sana Style Yako Mdau.Kwa walitoumia hizi codes zangu jana tumetusua tena mikeka minne kati ya 6.
Na sasa nawapa za leo
B14B316
4986844
1BB04EE
5C857DC
A063A99
Kampuni ni Betpawa
Kula la heri wakamalia wenzanguView attachment 2541427
Usijali Mdau,hayo ni Maneno ya Jukwaani,hasa watu tuliovirugwa na Simba over 1.5 na DortmuundKu promote kivipi mzee mbona watu kibao wana share mikeka yao hao pia wana promote?
Siwezi kuhama sababu sioni sababu ya kuhama, odds zinafanana kampuni zote
Kanji ikifika siku ya kukubutua hata uweke timu moja anakuvyetua hata wiki nzimaNimependa sana Style Yako Mdau.
Stake kubwa odds Chache,sio kusubiri msururu wa mechi