Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Screenshot_20230307-193406_1xBet.jpg
 
game ya simba inaweza toa over 1.5 kweli hii?
mikeka yangu karibu yote inadai 1.5
 
Jamani formula ya kumla mhindi ni GO ALL, GO HARD.... leo nimebet 1.3M nimevuna 400k ndani ya dakika 90

haya mambo ya mikeka ya buku tatu unatafuta kula laki mbili, aisee utaliwa sana

NB: Usije kujaribu hii mbinu kwenye mechi za ligi, mechi za ligi ni very unpredictable, Almeria wa nafasi ya mwisho anamfunga Barcelona nyumbani

Lakini kwenye CAF champions League huwezi kuta upsets kama hizo

View attachment 2540768View attachment 2540769
Unaua siafu na nyundo mkuu ni lazima afe, asipo kufa basi umekwepesha nyundo akaponyoka....ila daaah betting yako ni kama kazi....
 
Horoyq fc umefunga magoli mangapi mmi nilikupa win straight #sitaki angalia livescore nisije nikajipa pressure
 
Jamani formula ya kumla mhindi ni GO ALL, GO HARD.... leo nimebet 1.3M nimevuna 400k ndani ya dakika 90

haya mambo ya mikeka ya buku tatu unatafuta kula laki mbili, aisee utaliwa sana

NB: Usije kujaribu hii mbinu kwenye mechi za ligi, mechi za ligi ni very unpredictable, Almeria wa nafasi ya mwisho anamfunga Barcelona nyumbani

Lakini kwenye CAF champions League huwezi kuta upsets kama hizo

View attachment 2540768View attachment 2540769
Una kazi sana ya kulipromote hilo kampuni lako,ila humu watu wana makampuni yao pendwa.Kama kweli we better jaribu zingine kana 1xb,pari,sportbety,betpawa ndipo utatushawishi,lakini huko uliko humpati mtu humu.

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
Kama ni mfuatiliaji mzuri wa basketball [emoji459] utagundua kitu kwenye code niliyoleta ya 1xbet...

Huyu mnaija utadhani ni carbon copy yangu! Kachagua timu zile zile nilizo post hapa, na kwenye page yangu ya twitter @Dribbler Ppftower masaa masaa 3 yaliyopita....

Unapoona code ya namna hii kufanana KILA kitu na yako.....inatoa matumaini ya kuwa...your doing the right thing!....huwa naingia chimbo mwenyewe masaa kadhaa.....
Mkuu vp Leo nba
 
Jamani formula ya kumla mhindi ni GO ALL, GO HARD.... leo nimebet 1.3M nimevuna 400k ndani ya dakika 90

haya mambo ya mikeka ya buku tatu unatafuta kula laki mbili, aisee utaliwa sana

NB: Usije kujaribu hii mbinu kwenye mechi za ligi, mechi za ligi ni very unpredictable, Almeria wa nafasi ya mwisho anamfunga Barcelona nyumbani

Lakini kwenye CAF champions League huwezi kuta upsets kama hizo

View attachment 2540768View attachment 2540769

Kampuni ina page kama Bili ya Umeme.
 
Back
Top Bottom