Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

LAZIO ndo kwanz anatoka na mikeka ya watu, bado na vimbwengo vya chelsea ~~~~~~~~uw!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu vp Leo nba
Nimeunguza ac mzee...code niliyoistake...niliipania odds 15...but kikapu 🏀 sumtymz kina matokeo ya kikatili mno...

Nitarejea tena kwenye game.... Ninavyostake sku hizi nimebadilika....Ili nikibutua! ,nimebutua haswa! Ila inshallah....maana muda unaotumika kuchambua ni mwingi.....
I have to take a brake for now...

Matokeo ya Eurocup 🏀 leo hayajamuacha mkamaria yyt wa kikapu salama mzee....yameushangaza ulimwengu wa kikapu!
 
Mpira haukaririshwi hivyo

IHEFU Tangu iumbwe duniani haikuwahi kuifunga Yanga hata goal Moja.Ila Mwaka jana Yanga karuhu goal na kachapwa.

Nikusaidie tu Mdau
Vipers hana goal,ula Simba huyo huyo ana goal Moja tuuu

Simba kafungwa magoli 4,Vipers kafungwa 6.

Watu wa mpira wamenielewa kwanini vipers nimempa goal over 0.5.

Kanji akipigwa ndio ujinga wake,na sio kwamba hapgwi,usiogope kila kitu kwenye betting
Narudia tena kanji sio boya[emoji1787][emoji1787]
 
dah esperence ndio wa kuliwa 3-1 na zamaleki?
kazi kweli kweli
 
Time of africa
Screenshot_20230308-000344_1.jpg


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Aisee, Dortmuund kaondoka na kijiji chake bora leo umebunda
naombea apate goli tu, ndio mkeka pekee uliobaki, na kanji wa sportybet ka-lock cashout[emoji17][emoji17][emoji17],
asipopata goli dortmound sijui kama nitalala,
 
hii ya leo imeniuma, laki 2 kwa 200 dortmound kaninyima goli moja tu yeye peke yake????

shikamoo betting[emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Nimeunguza ac mzee...code niliyoistake...niliipania odds 15...but kikapu [emoji459] sumtymz kina matokeo ya kikatili mno...

Nitarejea tena kwenye game.... Ninavyostake sku hizi nimebadilika....Ili nikibutua! ,nimebutua haswa! Ila inshallah....maana muda unaotumika kuchambua ni mwingi.....
I have to take a brake for now...

Matokeo ya Eurocup [emoji459] leo hayajamuacha mkamaria yyt wa kikapu salama mzee....yameushangaza ulimwengu wa kikapu!
Overcome [emoji123]
 
Back
Top Bottom