Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Twende hapo [emoji3525]
Screenshot_20230307-094955.jpg
 
Timu toka iingie makundi ina on target mbili tu na haijawahi kuscore goal hata 1 ndo ije kuscore leo kwa mkapa?

Kanji sio boya.
Mpira haukaririshwi hivyo

IHEFU Tangu iumbwe duniani haikuwahi kuifunga Yanga hata goal Moja.Ila Mwaka jana Yanga karuhu goal na kachapwa.

Nikusaidie tu Mdau
Vipers hana goal,ula Simba huyo huyo ana goal Moja tuuu

Simba kafungwa magoli 4,Vipers kafungwa 6.

Watu wa mpira wamenielewa kwanini vipers nimempa goal over 0.5.

Kanji akipigwa ndio ujinga wake,na sio kwamba hapgwi,usiogope kila kitu kwenye betting
 
Ndo maana ya kamari
Watu mpaka wanatoa hizo odds wanaangalia vitu vingi sana tofauti na mashabiki mpira wafanyavyo.
Watu wanafanya SWOT
 
Wazee naombeni mwenye site nzuri ya prediction nayoweza kuchungulia na kuokota odds chache
 
F549CC5
C0A1476
03C3F45
F079C28
D0CD771
F5FE89E

Betpawa. Mikeka 6 ya jana nilikosa miwili tu. Kila la heri
 
Chief tupia 🏀🏀 code iwe kampuni ya sportybet
🏀 Ni 1xBet tu ndipo kuna winning probability 90💯 kulingana na vetting unayoifanya.....

kubet 🏀 sporty bet ni sawa na kumhonga malaya wale wa mitandaoni wale wa "Tuma na ya kutolea! Ambae unajua kabisa huwezi kumla!

Ni very risky kubet 🏀 SPORTYBET.... Unakuwa na 99.999! Ya kuliwa live!.
 
[emoji459] Ni 1xBet tu ndipo kuna winning probability 90[emoji817] kulingana na vetting unayoifanya.....

kubet [emoji459] sporty bet ni sawa na kumhonga malaya wale wa mitandaoni wale wa "Tuma na ya kutolea! Ambae unajua kabisa huwezi kumla!

Ni very risky kubet [emoji459] SPORTYBET.... Unakuwa na 99.999! Ya kuliwa live!.
Tupia code kk 1xbet turuke nayo
 
Back
Top Bottom