Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu anayefahamu options nzuri za mpira wa kikapu mfano timu zipi zinatoa over sana na zipi zinatoa direct win sana atujuze tafadhali
 
wakulungwa tusichoke kujaribu na jackpot huwenda siku ukaamka na kibunda kama wiki hii nimemkosa padogo
Screenshot_20230306-182237_betPawa.jpg
 
nilipatia tim 13 tukawa washindi 20 tuliopatia inatoka 75k inagawiwa sawa kwa washindi wote
Leo no 200M tenaa hatuchoki na saiv tunaziwinda kwa double chance
Hakuna kuchoka katika mchezo huu wa kuburudisha
 
Back
Top Bottom