The conceited
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 449
- 500
Nilijiapiza huu mwaka sinyetuki ila kwakipigo Cha Leo Wacha mwamnyeto ahusike tu
1xbet huwa unatumia option gn inayo win sanaWazee Nilikuwa natest mitambo ndiyo maana sikushare nilihofia kuwafelisha Ila next time yangu yenu.
View attachment 2538712
Pandisha mtandao huo usome H+ au 4G. utasumbuka sana 3G kwa parimatch.inaniletea hivi sijui shida nnView attachment 2538481
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi saivi nataka niwe na bet mipira ya kurusha tu
Hivi kapuni ipi unaweza ukakesh out nyatime you want???!Mimi saivi nataka niwe na bet mipira ya kurusha tu
Bora weweMimi saivi nataka niwe na bet mipira ya kurusha tu
Ripuka mwanaaaNini maoni yako hapa nataka nijiripueView attachment 2538905
Mhhh,Wanyaturu mmeanza lugha zenu.Hivi kapuni ipi unaweza ukakesh out nyatime you want???!
alisepa na ela yangu yote mkuu...wiki iliyopita yote nimechezea vipigo tu nimeamua nipumzike kwa mwezi mzima nikusanye kamtaji kakubwa kidogo nianze kucheza single bet multi bet zimeniumiza xana this timeNa kweli ni bundi ulijuaje?!! Kama ulimpa DC hongera maana kitu 1:1 ft
Naihofia ac Milan mkuuRipuka mwanaaa
Hiyo ngum kumeza.
Man united ipo wazi, Chelsea nimeiona jana hamna kitu
Yes mechi chache inapunguza risk ya kuliwaMkuu tunavumilia vipigo vya kanjii. Ka unataka kupunguza kadhia ya vipigo weka mechi chache