bab jesuss
JF-Expert Member
- Sep 19, 2022
- 375
- 689
Umekimbilia mtego ulipo tegukia 🤣🤣🤣View attachment 2538207
Naomba mnieleweshe hapo jmn imekuaje nimekosa [emoji17][emoji17]
Nikushauri u cash out ushapata mtaji wa jumanne caf CHAMPIONS LEAGUE na UEFA champions league!View attachment 2538548
Nawaza hapa pia
Twende live unaweza punguza machunguJamani naombeni odds 3 tu za uhakika maana vipigo vya kanji sio poa
Twende live unaweza punguza machungu
situmii vpn mkuuutakuata kawasha mi vpn yake anakomaa inakataa inakataaa
ishu huwa mitaji mkuuYaan mtu anakuja anakuonyesha mkeka kama huu natamani nimchape makofi View attachment 2538687
Twende KaziJamani naombeni odds 3 tu za uhakika maana vipigo vya kanji sio poa
AZAM kapata kona 20 leo,goal mbili tuHivi huyu madrid atatoa jumla ya Kona 7 kweli game nzima???