Lexus SUV
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 5,189
- 6,506
Poa poa mjumbe ,nipo naenjoy huku MMU. Sema shukrani sana nilimpta hiyo sundown win or drawMamelod anaongoza moja mpaka sasa
Poa poa mjumbe ,nipo naenjoy huku MMU. Sema shukrani sana nilimpta hiyo sundown win or drawMamelod anaongoza moja mpaka sasa
Wewe uliweka ashinde yeyote sasa wametoka drawView attachment 2538207
Naomba mnieleweshe hapo jmn imekuaje nimekosa [emoji17][emoji17]
Ng'ooo 😄 🤣 😂View attachment 2538255
Aaaa ******** hii under 4.5 sitakuja kuitumia ng'oooo
Mkuu tunavumilia vipigo vya kanjii. Ka unataka kupunguza kadhia ya vipigo weka mechi chacheKwani wenzangu mna fsnyaje bhna maana hii weekend betting history ina soma lost lost kama gazeti
Kumbe kapigwaa pipe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Maajabu ya betting ni pale ludogoreti anapoliwa na alikuwa na odd ya 1.07
huyo kiazi anahitimisha safari yangu ya weekendHuyu slavia Prague nimemuomba goli mbili ila hadi sasa bila bila
mkuu muangalie huyo wolfburg na huyo mwenzio ni hatari kwa afya ya mkeka wakoHivi huu mkeka tupo wangapi View attachment 2538368
Mambo mengne ya kishenzi sana, yani wanataka kupata six goals..unaweza ukabaki unacheka tu.mkuu muangalie huyo wolfburg na huyo mwenzio ni hatari kwa afya ya mkeka wako