Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Meridian huwa hawana code kama makampuni mengine...ngoja nami nitakuwa nashare screen shot before the game..huu wa jana wonView attachment 2539109

Wako na optiona ya QUICK CODE
IMG_4551.jpg
 
Cheza hivi kwenye casino ya jupita

Kwa sasa Bet companies nyingi zime stukia huu mchezo na waka amua kuweka limit ya pesa kwenye kubet casino na victual games

Hii ni baada ya kupigwa sanaaa...

Wapo hawa Jupitabet ambao wo wana deal na casino pekee na bado hawaja pigwa na bado pia hawaja limit mzigo sasa kabla hawaja stukia issue acha ni share hii trick tumbomoe mpaka maji aite mma....

JINSI YA KUCHEZA..

Mchezo unatakiwa kua na option mbili (machaguo mawili) hapa kwenye hii jupita bet tuta deal na HEAD AND TAIL mchezo wa shilingi ambao unachagua either head or tail then una spin

Ikitokea umepatia unapata mara mbili ya dau lako yaani kama ukiweka buku maana yake unapata buku mbili.

Sisi tuna deal na option moja tu! Kama ni tail au head ni hiyo hiyo hatubadili ila tuna I manupilate odd

Huu mchezo uko programed kua pande mbili za shillingi hutokea kwa ku gawana silimia(probability) ,

Inaweza kua wameweka head ni 40% alaf tail ni 60%(mfano) hivyo pande zote mbili zina nafasi karibu sawa za kutokea....

Kuchagua upande mmoja maana yake ni ku multiply uwezekano wa kuotea hata kama huna bahati...

Hivyo kama utaweka HEAD yaani

HEAD mara ya kwanza
HEAD mara ya pili
HEAD mara ya tatu
HEAD mara ya nne

Kwenye mara hizo nne kuna zaidi ya asilimia 100 head hutoa walau mara moja, haiwezi kutoa tail tuu!! muda wote au head muda wote hua ina change sababu zime gawana asilimia za kutokea.

TUNA PIGAJE PESA

Kumbuka ukipatia unapata mara mbili ya dau lako

Tuseme unaweka buku 2000 na tunadeal na HAEAD

Round ya kwanza
mfano iwe TAIL yani ukose

=>hasara ni buku mbili (-2000)

Raundi ya pili
Tunaenda tena na HEAD ila safari hii una weka mara mbili yaani 4000

Assume tulekosa tena.... Yaani itoe Head.

=>Hapo hasara ni (2000+4000=6000)

Mara ya tatu tunaweka tena TAIL ila kama kawaida double tuna naweka 8000

=> hii ikitoa maana yake unakua na 160000

Ume tumia(2000+4000+8000=14000) wewe una 16000 faida 2000

Yani hata Ikitokea ya tatu haija toa unaenda ya nne ambayo ndio ya Mwisho hapo ni mara mbili ya 8000 ambayo ni 16000

Unatoa 32000

Ulitumia (2000+4000+8000+16000= 30000) wewe una 32000 faida 2000

Hapa sasa ni wewe na pumzi yako kuzipiga hizo buku 2000 kwa siku

Uzuri huu mchezo haupotezi muda ndani yani Dakika kisha eleweka..

Website yao ni jupitacasino.site

Uki sign up wanakupa 1000 la kuanzia.

NB : Hii sio risk ni uhakika hapa ni speed yako tu ya kuzipiga hizo faida kwa siku..

link www.jupitacasino.site

video
Upumbavu mtupu,eti kianzio Tsh2000,wao wanakupa bonus Tsh 1000.

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
Hawa nao wasije pita na mitaji yetu chonde chonde 😂
 

Attachments

  • Screenshot_20230306-130720.jpg
    Screenshot_20230306-130720.jpg
    52.1 KB · Views: 27
Kwahiyo humu ndani wote hamtumii ,1XBET? Naombeni namba za mawakala. Sisi ni kama familia tusinyimaneugali.
 
Naona kanjibhei anatulia timing kwenye mechi za caf champions, imagine mpaka saizi hajaweka odds za mechi wakati kesho watu wako uwanjani. Au ndo anatafakari jinsi ya kurudisha hasara ya weekend
 
Sportybet
E252CE0 odds 18 Basket - NBA
0974F20 odds 47 Basket
110BB3B odds 34 Basket
6468C8 odds 62 Football
 
Sportybet wame-extend amount limit of winning!? Kutoka 42 million to hundred's of millions!

Milioni 42 tu iliikuwa inshu kuwin...Hapa sasa!? Duh! 432,000,000! Wana mbwembwe!👇...

They call it... I have dream!
 

Attachments

  • StitchIt_20230603043730_793.png
    StitchIt_20230603043730_793.png
    27.2 KB · Views: 23
  • StitchIt_20230603043645_181.png
    StitchIt_20230603043645_181.png
    24.9 KB · Views: 26
  • StitchIt_20230603043612_711.png
    StitchIt_20230603043612_711.png
    24.8 KB · Views: 32
Sportybet wame-extend amount limit of winning!? Kutoka 42 million to hundred's of millions!

Milioni 42 tu iliikuwa inshu kuwin...Hapa sasa!? Duh! 432,000,000! Wana mbwembwe!👇...

They call it... I have dream!
432M...hatarii, achana na 42M...2M tu tunasugua benchiii ni hatariiii
 
Back
Top Bottom