Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Muhindi leo anapigwa hivi.
IMG_20230308_175820.jpg
 
Bayern Munich vs PSG

Hii Mechi hiii,ipo kimtego mnooo

Yaani PSG amesetiwa odds kama Ruvu Shooting vile.
Kila option unakuta ni under dog na sio under Mbwa.

Najiripua,nampa over 1.5 kwa PSG

Maana Mechi iliyopita Mbappe goal 2 VAR ilichomoa.
hii mechi psg anaweza kushinda na kuvuka vile vile,
ile game ya paris mbape alikua katoka majeruhi,

mi nimewapa away over 1.5, odds 2.35!

safe option ni gg&over 2.5
 
Hem acheni analysis zenu nyingi apa. PSG anakamiwa vizuri sana hashindi hata kwa ulozi[emoji1787]
 
Asinikumbushe Mdau, yaani Jana alichofanya Chelsea kumbana Dortmuund Bila hata goal Moja?
maumivu ya jana tusikumbushane, odds 691 goli la dortmound likaninyima 200k kwa 200.......

dk 90 wakanipa cashout ya 9k sikuchukua, [emoji23][emoji23][emoji23], kupaniki sio kuzuri
 
maumivu ya jana tusikumbushane, odds 691 goli la dortmound likaninyima 200k kwa 200.......

dk 90 wakanipa cashout ya 9k sikuchukua, [emoji23][emoji23][emoji23], kupaniki sio kuzuri
Ungechukua hata mtaji mzeee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Unasusaaa
 
maumivu ya jana tusikumbushane, odds 691 goli la dortmound likaninyima 200k kwa 200.......

dk 90 wakanipa cashout ya 9k sikuchukua, [emoji23][emoji23][emoji23], kupaniki sio kuzuri
Mkuu ukazira kuchukua 9k ungechukua tu upate mtaji
 
Back
Top Bottom