Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Bahati yake iyo mechi aijachezwa nisinge mfilisi Ila angenitajilisha time of africa [emoji120][emoji120]
Screenshot_20230308-211843_1.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nna mkeka wangu wa 🏀 nimechanganya hawa vibwengo munchen na shogaake ....mechi 9 zote za 🏀 zimewin! Bado haya mashetani aisee!....

Kuna KILA dalili ya kuungua! Nimechanganya mafuta na Maji aisee!!!...
 
Attachments

  • StitchIt_20230903121301_306.png
    StitchIt_20230903121301_306.png
    27.8 KB · Views: 27
  • Screenshot_20230309-001036.png
    Screenshot_20230309-001036.png
    24.3 KB · Views: 21
yale yale ya dortmound jana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
inabidi tucheke tu........[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Nna mkeka wangu wa 🏀 nimechanganya hawa vibwengo munchen na shogaake ....mechi 9 zote za 🏀 zimewin! Bado haya mashetani aisee!....

Kuna KILA dalili ya kuungua! Nimechanganya mafuta na Maji aisee!!!...
Thanx Munchen! You did it! But haya mambo ya Cocktail Bet🏀&⚽........Leo mwisho!💥
 
Attachments

  • StitchIt_20230903011743_099.png
    StitchIt_20230903011743_099.png
    29.7 KB · Views: 23
  • Screenshot_20230309-011541.png
    Screenshot_20230309-011541.png
    26.4 KB · Views: 23
  • Screenshot_20230309-011522.png
    Screenshot_20230309-011522.png
    26.3 KB · Views: 23
  • Screenshot_20230309-011500.png
    Screenshot_20230309-011500.png
    26.9 KB · Views: 22
Option gani ambayo kaweka betPawa uliyoiweza kwa 100% Ila we ndio muoga mkuu kama tumeishidwa OV 0.5 hata ije option gani ni kipigo tu bonus anazotoa mkuu zinatosha maana bonus nyingi na kuliwa kwingi
Ila mkuu issue ya over mimi naona kama ndo inaongoza kunipiga mitama. Nadhani bora nipambana na double chance na direct win maana naona ni afadhali
Pia ile draw no bet nadhan inaweza punguza ukal hasa kwa game ngumu kutabiri
 
Aiseeee!!!.....Kuna Timu inacheza mchana....imepewa Odds za kutishaaa! Wakati kiuhalisia inashinda wazi wazi kabisa Hii mechi with no doubt!

Aiseee! Kweli mbuzi kafia KWA muuza supu!...

Aisee! Mama mkwe kanikuta Uchi! Na mtalimbo umelala! Ghafra! Leo angeona Mooto!
 
Ipi hio mkuu tupe madini kaka
 
Back
Top Bottom