Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Chukua odd 2 hapo,acha tamaa
 

Attachments

  • Screenshot_20230308-133926.jpg
    Screenshot_20230308-133926.jpg
    58.2 KB · Views: 27
Usiku wa deni haukawii kuisha. Hatimaye leo Yanga uso kwa uso na Bamako. Mara ya mwisho Yanga alilazimishwa draw dakika za jioni kusababisha kijikeka kuchanika.

Je, leo nimpe Yanga au Bamako? Ni wapi wana odds babkubwa?
Odds Almost zinafanana, options ndio zinatofautiana.

Kumpa Yanga au Bamako ni jinsi ulivyoiona match na kuitafsiri.
Sio Mechi nyepesi kwa wote.

Mechi ngum hii,na sio lazima kuzibetia kuna Match za championship hazina pressure,ila hapo utabet kwa mapenzi tu ya Yanga na Simba but Simba mwenyewe jana kasepa na kijiji mbali na kushinda
 
BETPAWA waoga kuliwa ndo maana wanabana baadhi ya options kwa baadhi ya timu maana wanajua na ma-bonus yao ya kumwaga wazee wa matreni watawazibua
Option gani ambayo kaweka betPawa uliyoiweza kwa 100% Ila we ndio muoga mkuu kama tumeishidwa OV 0.5 hata ije option gani ni kipigo tu bonus anazotoa mkuu zinatosha maana bonus nyingi na kuliwa kwingi
 
Back
Top Bottom