Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Siongelei Sure bets.
Naongelea kama kuna loophole.

Games hizi hazitabiriki kabisa sikuhizi.
Muhim kutafuta a way ambayo stake itarud nusu.
Nimepata moja ndio naifanyia kazi.
So far sio Mbaya.
 
Siongelei Sure bets.
Naongelea kama kuna loophole.

Games hizi hazitabiriki kabisa sikuhizi.
Muhim kutafuta a way ambayo stake itarud nusu.
Nimepata moja ndio naifanyia kazi.
So far sio Mbaya.
Loophole kwa mfano inatafutwaga kwenye 3 ways yaani W1, X au W2.
Unaangalia jinsi bookie walivyotofautiana kupanga odds ambazo zinaweza kukubeba.

Kwa hiyo mfano unakuta
1. umpe simba win kupitia bet365
2. Draw kupitia 1xbet
3. win yanga kupitia williamhill

CHANGAMOTO
1. Unakuta kampuni zenye odds za kukubeba hazina payment method kwenye nchi yako.
2. Payment method zipo ila ukipiga hesabu za makato ya kudeposit na kutoa unabaki na hasara.

Ndio maana tunaamua tuingie front kwa mhindi normal tu.
 
Jisajili uwe Affiliate Partiner wa 888statz kwa haraka Sana

Na utalipwa Dollar 30 kwa wiki

Bofya link hapo ๐Ÿ‘‡kuomba


NB: Vigezo na masharti kuzingatiwa

Kwa Msaada zaidi Check WhatsApp 0713675547

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ