Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Na huo ndo ukweli,always the house wins
Kuna Loophole . Nimegundua leo.
Inakula 1.25 ya stake yako uliyoweka na inakupa 1.25 kama ukila...

Nimejaribu game 3 na zimetoa...

Ngoja niendelee nayo na ntaleta mrejesho zaidi.
 
hapo kwenye loophole wazee. kama kuna kitu hapo.

japo kama kuna kitu, lakini mpaka sasa sijaona aliyekuja na maelezo clear yanayoeleweka ya loophole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…