Muhsin Snr
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 515
- 806
Hahaaa....Kweli haya mambo ni bahati nasibu.la kurocha tunamalizana leoleo na bwana kanji
698GMM - sportybet
usicheze mbali na cashout
Cheki hela betHivi hakuna betting company iliyoweka mechi ya Yanga
🤣🤣🤣mimi naonaga week end ndio mhindi anashiba hadi anavimbiwaPole sana afisa, wikendi ndiyo huwa kuna pesa siku zote. Usijichanganye ukahamia katikati ya wiki.
maombi enu 🤑odd 2.78
aliyefata 🤑🤑🤑odd 2.78
Kwa waliofuata, code 2 zimeboom kati ya code 4Ice Hockey
Sportybet
Nimebadili option kwenye mkeka mmoja.
Unaweza kustake mikeka yote halafu ika boom mikeka kadhaa na ikawa sherehe, pia unaweza kulost mikeka yote[emoji1][emoji1]View attachment 3268773