Jajejijoju
JF-Expert Member
- May 1, 2022
- 447
- 598
Leo naona maafisa wamesusa uzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutabirikaje?Maafisa wenzangu kwa uzoefu wangu hii wikendi ambayo uefa zimeisha, na inafuata international break mechi nyingi za timu kubwa za ulaya huwa na matokeo yanayotabirika vizuri sana.
Pia ile wikendi baada ya international break pia mechi karibia zote za timu kubwa ulaya huwa na matokeo yanayotaborika kabisa.
Zile posible options zako za kila siku kwa hizo timu hutokea kweli kwa hizi siku.Kutabirikaje?
Unapewa mshiko wako, ila jamaa wale hela yao ndogo sana wale jamaa hasa ukiishia mechi 10 Raha ufikishe angalau mechi 12 au 11 ndo utaona Raha yakeWakuu,naomba kuelimishwa,kwenye Betpawa Jackpot kuna maandishi "Pick 13 winners,prize for 10 correct"
Hii inamaanisha ukiweka mkeka wa mechi 13,kumi zikashinda tatu zikapoteza unapewa mshiko wako au unakuwa umepoteza pia?
bora hawa sioni hasara sana hapo tena ww ukiwa umestake tsh.100 tu betpawa bonus zao sio mbaya sana hasa ukipatia mechi 11 au 12 na tamu zaidi ukuweka double chance japo tatu tu zinasoma tiketi nane na kila tiketi inalipwa kivyake ukiotea 11 bonus ikiwa laki moja basi ww kama ulipata zile double chance za tiketi zako nane zile hapo unakunja laki nane safi kabisa kwani kila tiketi imelipwa kivyake.Unapewa mshiko wako, ila jamaa wale hela yao ndogo sana wale jamaa hasa ukiishia mechi 10 Raha ufikishe angalau mechi 12 au 11 ndo utaona Raha yake