Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Screenshot_20250330_223618_DBbet.jpg
Screenshot_20250330_223618_DBbet.jpg

Ser Napata ujumbe huo nikijaribu kuwithdraw....shida itakuwa ni nini?
NB:Nimedeposit kupitia halotel na nimewithdraw kupitia halotel
 
View attachment 3288324View attachment 3288324
Ser Napata ujumbe huo nikijaribu kuwithdraw....shida itakuwa ni nini?
NB:Nimedeposit kupitia halotel na nimewithdraw kupitia halotel
Hapo wana maanisha kuwa hela utakayo toa itathibitishwa ikiwa unatoa Kupitia njia uliyo Deposit. Yaani kama ulideposit kwa Halotel basi toa kwa kutumia Halotel hiyo. Hapo inawezekana umetoa kwa kutumia njia tofauti. Kagua akaunti yako kama ndiyo hiyo hiyo ulitumia ku deposit
 
Mim nime0na tim zangu dakika ya 74 bila bila nime cash out alaf dakika ya 81 wakapata g0r imeniumaaa ila cjapata hasara b0ra kupata kid0go kuliko kuk0sa vy0te
kabisaa mkuu imenitokea na mimi leo baada ya kuona Ac milan hana hata ontarget alafu nilimpa goli moja ,guess what dakika ya 84'akapata goli nime mind kweli
 
Wakuu SportyBet wanaleta uhuni inawezekana vipi hii mech nime lose,

View attachment 3288055
Kaka nimeona apo umelalamika nkachukulia poa ila ulivyo sema tu SportyBet ukanistua, how come SportyBet walete miyayusho? hitilafu zipo ila pia wana maua yao hawana janja janja kama za majkampuni ya vichochoroni
Nmeangalia apo mkeka wako hawajakudhulumu ni kweli umechanika, hyo option (any team to score 2 goals in a row) umemaanisha timu yeyote ifunge goli mbili mfuatano yan mfano timu A ifunge goli 1 inatakiwa ifunge tena la pili kwa mfatano kabla timu B haijarudisha the same pia kwa timu B then angalia kilichotokea apo kwa io magoli waliyofungana👇
 

Attachments

  • 47886E51-3FF0-43F5-AEA3-672D9B080920.jpeg
    47886E51-3FF0-43F5-AEA3-672D9B080920.jpeg
    388.2 KB · Views: 34
Kaka nimeona apo umelalamika nkachukulia poa ila ulivyo sema tu SportyBet ukanistua, how come SportyBet walete miyayusho? hitilafu zipo ila pia wana maua yao hawana janja janja kama za majkampuni ya vichochoroni
Nmeangalia apo mkeka wako hawajakudhulumu ni kweli umechanika, hyo option (any team to score 2 goals in a row) umemaanisha timu yeyote ifunge goli mbili mfuatano yan mfano timu A ifunge goli 1 inatakiwa ifunge tena la pili kwa mfatano kabla timu B haijarudisha the same pia kwa timu B then angalia kilichotokea apo kwa io magoli waliyofungana👇
Watu wanaliwa mpaka wanapagawa 😂😂washaambiwa bet kistaarabu
 
ingia google search convert code.com kuna codes za bure kwa wale wa mabehewa
 
Kuna wakati unamuotea “muhindi” hadi unajiona kama unajua saaana...... ngoja kibao kije kugeuka

Nimekua na run nzuri sana siku hizi mbili tena kwa Direct win na DC...........Leo IDD yangu swaaaafi kabisa

Nawatakia IDD njema wakamalia wenzangu 🙏
 
Back
Top Bottom