Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo Tanzania kuna mechi ya kisasi kati ya Tabora na Yanga! Tukiachilia mbali kiwango kizuri alichonacho Yanga, leo ana kila sababu ya kushinda! Mpe Yanga ashinde Kabisa! Odd 1.18


Huko kwenye Caf championship tunakutana na Mabingwa wa Africa Al Ahly leo anacheza na Al hilay ya Sudan! Kama tunavyojua Al Ahly kwenye mtoano huwa ni hatari na isitoshe anacheza mechi akiwa nyumbani leo ushindi kwake ni lazima! Kwakua hii ni betting ni hatutaki kuliwa basi tumlinde tumpe Al Ahly win or draw ana odd 1.08

Psg hashikiki si kwenye ligi yake si kwenye Cup si kwenye Uefa popote hachek na wowote! Wakina Dembele na Barcola wako kwenye form nzuri sana! Leo psg anacheza nusu fainali na kitim cha daraja la pili tatu huko hivyo tumpa Psg ashinde na handcap ya 1 kwa hako katimu ina odds 1.36

Pale Hispania tunakutana na Bingwa mara nyingi wa Uefa Real Madrid anacheza na real sociedad kwenye cup. Mpe Madrid win or draw acha tamaa anaweza asishinde maana hata dro kwake ni nzuri inambeba kufuzu! Win or Draw ana Odds 1.12

Mwisho tunarudi Kwa Wakoloni wetu wa Zamani wajerumani huko kuna cup inachezwa leo kati ya Bayern Leverkusen na timu moja ya daraja la tatu na ni nusu fainali nadhani! Hivyo ni ngumu sasa tunamlinda Leverkusen tunampa win or draw ana odd 1.06

Hzo hapo ni Odd 2.06 weka mzigo ukishinda ukiona kama unaweza kunipa hela ya soda sio mbaya 😄! Japo betting ni bahati ila huu mkeka una asilimia nyingi za kuwin
 
Yanga siyo leo anacheza kesho
 
Ukiweka kwanzia Stake ya Laki mbili na kuendelea ndo utaona kuwa odds 2 sio kitu rahisi! Mie naweka hela nyingi siwezi mpa Madrid ashinde mazima wakat hata akidro kwake ni salama! Sitaki kumchangia kanji kirahisi hvyo

Mpe over 0.5
 
hand cap ni nin mim cjui inatmikaje msaada
 
hand cap ni nin mim cjui inatmikaje msaada
Yani hapo timu inapewa goli moja mkononi Yan Mechi inaanza na timu inakuwa na goli moja au mawili ya kupewa inategemeana umempa magoli mangapi Na umeipa timu gani hyo handcap!! Mfano Yanga anacheza na tabora! Ukimpa tabora handcap 1 ina maana anaanza mechi akiwa anaongoza goli moja Yan 1-0 kwa lugha rahisi hancap ni goli au magoli ya kupewa
 
Weka laki ujinyakukie elfu 80 za bia hapo baadae kuisindikiza IDDI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…