Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

JICHO LANGU LA LEO

Timu zifuatazo zina matumaini ya kutoa ukizifuata mazima

Arsenal(Saka karejea makali mbele yataongezeka)

PSG(anacheza na timu ya chini sio kazi sana kushinda)

Al Ahly(Zinapofikia hatua hizi Ahly kupata matokeo kwao nikama jadi)

Utopolo(Tabora hana cha kupoteza, hata bahasha zitahusika ikibidi uto ashinde)

R Madrid(Ancelotti msimu wake wa mwisho anaisaka treble kwa udi na uvumba atatia full muziki)

Leverkusen(Hili ndio kombe pekee ana uhakika nalo akikomaa, atakaza sana kupata matokeo)

Timu zifuatazo unaweza kuzifuata kwa DC

Mamelodi, Mc Alger na Pyramid( Waarabu hatua hizi kufungwa kwao huwa ni mtihani ila sasa wanakutana na wabishi Orando na Far Rabat, Mamelodi naye anakazi kupenya ukuta wa esperance watapaki basi

Al Hittihad Jeddah(Wakina Ngolo kante na Benzema wapo vizuri ila wapinzani wao hawafungiki kirahisi

Game zifuatazo unaweza kuzidhamini mabao over 1.5

Wolves vs West Ham
Nottingham vs Man U
Empoli vs Bologna

Bonus
Mfuate Man U mazimaaa😂

NB
Uchambuzi huu umezingatia UMUHIMU wa game kwa timu na historia na sio tactical analysis

Usiweke timu zote kwenye mkeka mmoja...... chagua/ edit

Always stake what you can afford to lose 🙏🙏
Pyramid nafikiria kumfata mazima 😂
 
r5j9v3.jpg

Code 👉 RK1AG

Jisajili PariPesa⤵️⤵️

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code Use👉 TIPS2424

Tumia Promo Code TIPS2424 Upate 300,000 Kama Bonus Ukideposit Kwa Mara Ya Kwanza.
 
Mnao angalia game ya Mamelodi anaweza kushinda mazima?
Hard to predict. Naiangalia hapa lakini sina uhakika sana. Kama option ya corner bado ipo amgalia huko uweke under
Japo refa anapeta na kuwabeba masanda. Ukiamua kujilipua kwa kigezo hicho we jilipue tu
 
Back
Top Bottom