Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Attachments

  • Screenshot_2025_0401_231127.jpg
    Screenshot_2025_0401_231127.jpg
    128.9 KB · Views: 30
hatimaye leo akaunti inasoma salio 2000.....
 

Attachments

  • Screenshot_2025_0401_231127.jpg
    Screenshot_2025_0401_231127.jpg
    128.9 KB · Views: 32
Kanji Baba tusamehee tumekosa sisi, tumekosa sisi, tumekosa baba 🙏 Psg umemuhonga sh ngapi baba mbona leo Kawa mdebwedo watu wanajipigia tu! Madrid nae msala Bayern 3 nae hoiiiii! Mkiniona tena nimebet ushindi mje mnishike makalio
hiyo option naichunguliaga mbali tu siitaki kabisaaa
 
Natumia toka 2019 hawasumbui. Tena siku hizi payment method zipo za mobile na mawakala.
Uchaguzi ni wako.
Poa nilikua nauliza maana hizi kampuni za mrusi ni shida aisee vipi kuhusu makato ya kuweka pesa ni kama ya kampuni kama sportybet au Yako juu
 
Back
Top Bottom