Bro wee weta mechi tatu za over 1.5 tuu hizi direct win shida
Toa code Mzee wengine pia wakimkosa inakuwa SI mbaya au vipiwakuu leo pia nikimkosa kanji "M" kadhaa mniite Fetty da cute
Leta codiiiiiiiiwakuu leo pia nikimkosa kanji "M" kadhaa mniite Fetty da cute
Mungu akusimamie kila lililo jemaYanga Win Over 1.5
Lipukaaaaa
Kwa voda makato yapo juu kidogo, tigo afadhali.Poa nilikua nauliza maana hizi kampuni za mrusi ni shida aisee vipi kuhusu makato ya kuweka pesa ni kama ya kampuni kama sportybet au Yako juu
Kwa tigo wana makato had nawa0gopaKwa voda makato yapo juu kidogo, tigo afadhali.
Ila mimi binafsi sikatwi hata thumuni kwenye kuweka na kutoa natumia lipa.
Mimi kudeposit huwa natumia lipa namba kwa lipa namba kupitia wakala sikatwi. Na nikitaka kutoa ananitumia kwa lipa na mimi natoa bure.Kwa tigo wana makato had nawa0gopa