Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jumamosi inataka utulivu wa viwango vya lami ya china ambayo xi jimpin anaweza kupita mwendo wa game 3-10
Hakuna hapo zikichana ni moja au mbili tu zaidi sana 3 out of 30

Pesa pesa pesa ngoja baadae nikatie nitacheza kwa elfu 2500 mikekq 2 yenye kufanana kwa kuvizia cash out ilo dude kuanguka ni ngumu
 
Screenshot_20250405-113016.jpg
 
Nime mkopesha kanji jero nimetulia zangu hapa sitaki kelele nasubiri aniline milioni 27 zangu 😇😇😇😇
 

Attachments

  • Screenshot_20250405-115118_SportyBet.jpg
    Screenshot_20250405-115118_SportyBet.jpg
    147.3 KB · Views: 28
Safari na muziki ndiyo tumeanza
 

Attachments

  • Screenshot_20250405-131022_SportyBet.jpg
    Screenshot_20250405-131022_SportyBet.jpg
    62.4 KB · Views: 27
1A55E15A - BETWAY
Wahi Fasta mana kuna games za Saa nane, uje utoe ushuhuda baadae.
Goodluck!!
 
Back
Top Bottom