Mkuu kutakuwa kuna timu moja au mbili bado hazijacheza au soko ulilo chagua bado halijacheza. Kama Unaweza screenshot timu ambazo zinaonekana bado hazijacheza Kisha Weka Hapa screenshot hiyo tuone tatizo liko wapi. Sababu za Mkeka kuchelewa ku settle ni hizi, gemu kuahirishwa kucheza, labda ulibet cup ambapo uliweka team to qualify halafu wamecheza round ya kwanza bado round ya pili.Hivi Paripesa ni kampuni ya wapi jamani? Yaani leo siku ya tatu mkeka haujawa settled, inakuwaje hapo?
Duh!