Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi Paripesa ni kampuni ya wapi jamani? Yaani leo siku ya tatu mkeka haujawa settled, inakuwaje hapo?

Duh!
Mkuu kutakuwa kuna timu moja au mbili bado hazijacheza au soko ulilo chagua bado halijacheza. Kama Unaweza screenshot timu ambazo zinaonekana bado hazijacheza Kisha Weka Hapa screenshot hiyo tuone tatizo liko wapi. Sababu za Mkeka kuchelewa ku settle ni hizi, gemu kuahirishwa kucheza, labda ulibet cup ambapo uliweka team to qualify halafu wamecheza round ya kwanza bado round ya pili.
 
Hao matapeli wakirusi
Hivi ni kweli kwamba paripesa ukidepost kama laki + au ukila kama milioni kuitoa ni mbinde ?kuna ushuhuda kweli ,kwa hiyo wao kulipa ni hela za nyanya tu,ukipiga mshindo utajua a wewe na serikali yako????😄😄
 
YN0IRY0 BETPAWA

odd elfu 6 .. tumia kama reference ya kuchambua..

Moderator wewe si mtaalam sasa wa kuedit, edit na huu mkeka tuone
 
Hivi ni kweli kwamba paripesa ukidepost kama laki + au ukila kama milioni kuitoa ni mbinde ?kuna ushuhuda kweli ,kwa hiyo wao kulipa ni hela za nyanya tu,ukipiga mshindo utajua a wewe na serikali yako????😄😄
Mkuu siyo kweli. Mimi natoa hela kuanzia laki tano na milioni mara kwa mara. Pia kuna miamba ipo hapa huwa ina stake hela kubwa kubwa, wanashinda hela kuanzia milioni na wanatoa bila shida. Hao jamaa wapo Hapa wanaweza kuwa mashahidi. Pia jiulize kwanini malalamiko mengi yanatoka Hapa JamiiForums pekee na hatuoni malalamiko kutoka kwenye social networks nyingine? Na kwa sasa hivi kwa Hapa Tanzania hakuna kampuni ya MRUSI inayoongoza kwa kutumiwa na watu wengi zaidi ya PARIPESA.
 
Hiyo kampuni ishalalamikiwa sana hapa JF.

Kati ya makamuni yote ya kirusi hii inashika nambari one kwa kulalamikiwa kuleta shida kwenye miamala hasa ya kutoa.
Makampuni mengine yaani kulipa kodi hayataki
 
We ni mwizi unatetea wezi wenzio sio
Ushawahi tumia PariPesa wewe? Kwa taarifa yako hakuna kampuni ya MRUSI inayoongoza kwa kutumiwa na watu wengi Hapa Tanzania kama PariPesa.
 
Ushawahi tumia PariPesa wewe? Kwa taarifa yako hakuna kampuni ya MRUSI inayoongoza kwa kutumiwa na watu wengi Hapa Tanzania kama PariPesa.
Unaongoza kuitumia wewe ila sio watu wengi na hiyo kampuni Yako ni ya wezi
 
Mkuu Mimi kampuni zangu milele ni meridian bet na sporty bet sijawahi kupata usumbufu wowote aisee ila hayo ya kirusi sio ya kubetia kabisa
Kuna hawa jamaa SER,KAMOTEE hawa jamaa wanahamasisha kampuni za hovyo
 
Unatongoza kuitumia wewe ila sio watu wengi na hiyo kampuni Yako haipo tanzania inakimbia Kodi jinga wewe
Mkuu acha kuwa hasi. Nimesema hakuna kampuni ya MRUSI inayoongoza kwa kutumiwa na watu wengi kama PariPesa Kwa sasa Hapa Tanzania. Na kuna watu wengi Hapa Jf wanatumia ila hawana maneno mengi kama nyinyi wenye maneno mengi ambao Hamtumii. Kuna watu kila siku wanashinda laki tano, milioni na kuendelea na wapo Hapa JamiiForums wametulia tu. Huwakuti wanalalamika
 
Huyo ni mjinga mmoja tu angalia hata promo code TIP 2424 kwenye hizo account zote zinapost hivyo ameona watu wamestuka
Kuna hii kampuni ya wasafi bet inakata kodi asilimia 20% au 15% alaf bado watu wanakomaa nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…