Odd hizo mmmh😂😂YN0IRY0 BETPAWA
odd elfu 6 .. tumia kama reference ya kuchambua..
Moderator wewe si mtaalam sasa wa kuedit, edit na huu mkeka tuone
We ni mjinga sanaMkuu siyo kweli. Mimi natoa hela kuanzia laki tano na milioni mara kwa mara. Pia kuna miamba ipo hapa huwa ina stake hela kubwa kubwa, wanashinda hela kuanzia milioni na wanatoa bila shida. Hao jamaa wapo Hapa wanaweza kuwa mashahidi. Pia jiulize kwanini malalamiko mengi yanatoka Hapa JamiiForums pekee na hatuoni malalamiko kutoka kwenye social networks nyingine? Na kwa sasa hivi kwa Hapa Tanzania hakuna kampuni ya MRUSI inayoongoza kwa kutumiwa na watu wengi zaidi ya PARIPESA.
Mkuu acha kuwa hasi. Nimesema hakuna kampuni ya MRUSI inayoongoza kwa kutumiwa na watu wengi kama PariPesa Kwa sasa Hapa Tanzania. Na kuna watu wengi Hapa Jf wanatumia ila hawana maneno mengi kama nyinyi wenye maneno mengi ambao Hamtumii. Kuna watu kila siku wanashinda laki tano, milioni na kuendelea na wapo Hapa JamiiForums wametulia tu. Huwakuti wanalaUnatongoza kuitumia wewe ila sio watu wengi na hiyo kampuni Yako haipo tanzania inakimbia Kodi jinga wewe
Hao nao wezi aisee Kodi 20%Kuna hii kampuni ya wasafi bet inakata kodi asilimia 20% au 15% alaf bado watu wanakomaa nayo.
Sawa mkuu. Uwe na siku njemaWe ni mjinga sana
Kaka usiwe unabetia hela nyingi hivi daaahWadau hii imekaaje [emoji849][emoji849]
Nimeshinda ila wameweka lose
Na serikali ipo inawaangaliaHao nao wezi aisee Kodi 20%
Chukua hela hiyo.Odds 5 za Ma U zinatamanisha nataka kumfuata mazima
Usimwamini maana kesho kutwa yupo na uefaGame ya Madrid vp goal 2 zinapatkana?
Nimeisha stake bana liwalo na liwe maana naona anaruhusu sn magoliUsimwamini maana kesho kutwa yupo na uefa
Jiunge kwenye channel utaona screenshot mpaka uzime auto download my ladyScreenshort mikeka uliyokula uaminike.
Nipe mechi mbili za 0ver 1.5