Daa! Leo napumzika rasmi kubeti. Sababu ni hizi hapa.
1. Tangu nianze kubeti uwiano wangu wa kula na kuliwa ni 1:5.
2. Uhuni ni mwingi, timu zinajifungisha au hazifungi au hazifungani ( match fixing) refer Kwa tuhuma za Udinese.
3. Nimekuwa addicted. Nikikosa ela ya kustake na ya bando nakosa amani ya nafsi. Furaha yangu ni kucheza tu hata kama napigwa.
4. Nimeshindwa kuidhibiti tamaa. Nikila naendelea kucheza hatimaye naliwa yote. Usukaji wa mkeka chini ya odds 1000 naona nachelewa kutajirika.
5. Simu inanishughurisha mno, Kuna baadhi ya mambo ya kimaendeleo na kijamii Yanadolola.
6. Ndoa kuwa mashakani. Wakati wa tendo sitendi haki, nafanya harry niwahi kucashout.
7. Huwa ninalala na maumivu makali sana pale ninapocashout stake iliyopungua halafu timu ikashinda dakika za mwishoni AU niache kucashout kukiwa kumenona ikapungua mpaka cash out ikawa blocked.
8. Mwisho lakini si Kwa umuhimu, naokoa mahusiano baina yangu na Mungu.
Huwa unastake sh ngapi mkuuDaa! Leo napumzika rasmi kubeti. Sababu ni hizi hapa.

unawahi cash out du!Daa! Leo napumzika rasmi kubeti. Sababu ni hizi hapa.
1. Tangu nianze kubeti uwiano wangu wa kula na kuliwa ni 1:5.
2. Uhuni ni mwingi, timu zinajifungisha au hazifungi au hazifungani ( match fixing) refer Kwa tuhuma za Udinese.
3. Nimekuwa addicted. Nikikosa ela ya kustake na ya bando nakosa amani ya nafsi. Furaha yangu ni kucheza tu hata kama napigwa.
4. Nimeshindwa kuidhibiti tamaa. Nikila naendelea kucheza hatimaye naliwa yote. Usukaji wa mkeka chini ya odds 1000 naona nachelewa kutajirika.
5. Simu inanishughurisha mno, Kuna baadhi ya mambo ya kimaendeleo na kijamii Yanadolola.
6. Ndoa kuwa mashakani. Wakati wa tendo sitendi haki, nafanya harry niwahi kucashout.
stake iliyopungua halafu timu ikashinda dakika za mwishoni AU niache kucashout kukiwa kumenona ikapungua mpaka cash out ikawa blocked.
8. Mwisho lakini si Kwa umuhimu, naokoa mahusiano baina yangu na Mungu.
Kuanzia 1000 Hadi laki 2Huwa unastake sh ngapi mkuu
Huu mchezo hauhitaji tamaa Sanaa tumia akili jinsi ya kuweza kula pesa japo bahati nayo inahitajika ila tumia akili nyingiDaa! Leo napumzika rasmi kubeti. Sababu ni hizi hapa.
1. Tangu nianze kubeti uwiano wangu wa kula na kuliwa ni 1:5.
2. Uhuni ni mwingi, timu zinajifungisha au hazifungi au hazifungani ( match fixing) refer Kwa tuhuma za Udinese.
3. Nimekuwa addicted. Nikikosa ela ya kustake na ya bando nakosa amani ya nafsi. Furaha yangu ni kucheza tu hata kama napigwa.
4. Nimeshindwa kuidhibiti tamaa. Nikila naendelea kucheza hatimaye naliwa yote. Usukaji wa mkeka chini ya odds 1000 naona nachelewa kutajirika.
5. Simu inanishughurisha mno, Kuna baadhi ya mambo ya kimaendeleo na kijamii Yanadolola.
6. Ndoa kuwa mashakani. Wakati wa tendo sitendi haki, nafanya harry niwahi kucashout.
7. Huwa ninalala na maumivu makali sana pale ninapocashout stake iliyopungua halafu timu ikashinda dakika za mwishoni AU niache kucashout kukiwa kumenona ikapungua mpaka cash out ikawa blocked.
8. Mwisho lakini si Kwa umuhimu, naokoa mahusiano baina yangu na Mungu.
Matapeli haoWazee kama kuna mtu ana mawasiliano ya Parimatch tofauti na ile namba yao ya WhatsApp nayaomba
Ile ya kwao ya mezani haitoi huduma pia
Duh🙄Matapeli hao
waanze kulipa kodiNaona server ya 1xbet na watoto wake wote ina shida