Chick_tz
JF-Expert Member
- Mar 2, 2025
- 2,447
- 3,302
Wale jamaa mfumo wao ni WA kupaki basi ko co wepesi kihivyoHivi wadau Simba anaweza pata goli hata moja Leo kwa wale wazee wakuona mbali nataka nijilipue hapa
Wale jamaa mfumo wao ni WA kupaki basi ko co wepesi kihivyoHivi wadau Simba anaweza pata goli hata moja Leo kwa wale wazee wakuona mbali nataka nijilipue hapa
Ngoja Niwape Simba DCWale jamaa mfumo wao ni WA kupaki basi ko co wepesi kihivyo
Wale miamba wa cup Toka Jana naona wanatoka tu 0-0 wote Sasa sijui Leo ila ni bahati ila kule juu kuko sawaWadau hapo vipi?View attachment 3310174
Ok poaWale miamba wa cup Toka Jana naona wanatoka tu 0-0 wote Sasa sijui Leo ila ni bahati ila kule juu kuko sawa
Weka Imani tu mkuu ule kama wa kwanza si umetoaWadau hapo vipi kwa Madrid uwezo wa kumfunga mwamba upo?View attachment 3310396
Hawa wajeda jau kwelidah!, ligi ambazo hazina consistency ni michosho.
mechi ya APR vs. Etincelles. pre-analysis yake ya home win imebalance kwa asilimia kubwa.
home akiwa anaongoza 2-0, nikaona hapa uhakika. nikaagiza pilau jingi, nyama nyingi na soda nyingi kusindikizia sikukuu na mechi inakwenda kuwin.
nimenyoosha zangu miguu, napata notifications FT 2-2, pilau nimeliona chungu kwa muda.
Yah ule umetoaWeka Imani tu mkuu ule kama wa kwanza si umetoa
Mkuu mkeka hauonekani vizuri kidogoDu nimecashout mkeka wash 200 kula sh mil 9 maana nimeona kama inter awezi kupata bao moja nililo muomba au ushindi