Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Athletico matako alishawahi ninyima milioni 8, laki saba na laki nne pekee yake

Nilimtoaga kwenye mikeka lakini najikuta mara nyingi namuweka bila kupenda

Angalia sasa

Hata betway nao Cash out walifunga game ya atletico ilipoanza kipindi cha pili ni bora hata ningecash out elfu 50 na kuachana na game za kesho yaani ni mbayaa tu

Hii ndio betting sasa
Ukiweka over 1.5
Mechi inamalizika 0-0 au 1-0

Athletico matako kuanzia Leo hata kama anacheza na Lipuli simpi option yoyote
 
Athletico matako alishawahi ninyima milioni 8, laki saba na laki nne pekee yake

Nilimtoaga kwenye mikeka lakini najikuta mara nyingi namuweka bila kupenda

Angalia sasa

Hata betway nao Cash out waliofunga yaani ni mbayaa tu

Hii ndio betting sasa
Ukiweka over 1.5
Mechi inamalizika 0-0 au 1-0

Athletico matako kuanzia Leo hata kama anacheza na Lipuli simpi option yoyote
💪pole mkuu huwezi amini alibaki yeye na benfica hatimae kaniliza mwishoni ase 😢😢😢
 
Mimi nilianza kupanga kuagiza kisinia kabisa lakini baada ya kuchungulia betway nikakuta nako cashout imebanwa nikaanza kuwa na wasiwasi

Yaani hapa weekend imeisha hivi kesho ndio sio kabisa

Yaani goli la raphinha nilishangilia sana nikajua leo kanji hatoboi , kanji apewe heshima
 
🚮🚮🚮Benfica chuma cha 3 na nimewapa goli ila hili li Atletical ni litimu la kijinga si bora angepigwa dakika ya 10 huko kaja kupigwa dakika za mwishoni ,,,,,anyway kesho pia ni siku
 
Timu yetu mpaka AI haziiamini, hizi dharau sasa.
Screenshot_20250420-071826_WhatsAppBusiness.jpg
 
Back
Top Bottom