ablekats619
Senior Member
- Aug 11, 2020
- 139
- 210
KachomoaUpangaji matokeo upo aisee.. rb leipzig sio wa kufungwa na hawa watoto
KachomoaUpangaji matokeo upo aisee.. rb leipzig sio wa kufungwa na hawa watoto
Hii game nenda na angalau ata over 0.5 lipatikane goli Moja tuWazee huyo oralndo pirates kumpa directly win kwa laki moja vipi kuna usalama kweli au nae msenge tu kama mamelod
Subiri mpunga tuHawa betpawa wanashida gani kati ya game 18 zimetiki 16 lakini amefunga cashout na hizo game zilizobakia zinaendelea fresh
🙏🙏🙏 nasubir benfica aongeze goli na Athletic madrid dcSubiri mpunga tu
Dah yaani kashindwa kutoa goli mbiliRoma umetangulia pumzika baba, bila shaka na Atletico Madrid atafata nyayo zako.
Unatuacha na simanzi hatulali, tunaenda kuzurura Argentina na USA MLS kutafuta riziki.
Na Atletico huku msiba dakika ya 95 kakalia 1. Mwindi sio mjinga kushikilia cashout aisee.Dah yaani kashindwa kutoa goli mbili
yaani Atletico madrid alichofanya namtoa mazima kwenye betting zanguuuRoma umetangulia pumzika baba, bila shaka na Atletico Madrid atafata nyayo zako.
Unatuacha na simanzi hatulali, tunaenda kuzurura Argentina na USA MLS kutafuta riziki.
Uliweka masoko ganiHawa betpawa wanashida gani kati ya game 18 zimetiki 16 lakini amefunga cashout na hizo game zilizobakia zinaendelea fresh
Pole mkuu, huu msiba wetu wote.🙏🙏🙏 nasubir benfica aongeze goli na Athletic madrid dc
dc,over,under first half na zote zimetoa ila Atletical amabakia kuachia mwishoni kabisaa na nilimpa dcUliweka masoko gani
😢😢😢inauma mkuu kati ya game 18 ,16 zimetoa alibaki Atletical na benfica magoli mawiliPole mkuu, huu msiba wetu wote.