Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Be aware.........
Leo Aseno anaweza akazingua
EPL ni kama hawezi shinda tena.
Atawekeza nguvu nyingi kwenye game ijayo ya UCL kuliko game ya leo.
 
Be aware.........
Leo Aseno anaweza akazingua
EPL ni kama hawezi shinda tena.
Atawekeza nguvu nyingi kwenye game ijayo ya UCL kuliko game ya leo.
kwa mtazamo wangu naona over 1.5 inatoa
 
Wadau Jana niliweka mkeka kampuni ya PARIPESA ni single match katika ligi one ya Africa kusini but hyo match baada ya dakika kama 4O ikawa suspended so nauliza hao jamaa utaratibu wao upoje kama match imekuwa hvyo na niktazama fixture wala hapo karbuni
 
Be aware.........
Leo Aseno anaweza akazingua
EPL ni kama hawezi shinda tena.
Atawekeza nguvu nyingi kwenye game ijayo ya UCL kuliko game ya leo.
Na akizingua tu Livepool anatangaza ubingwa mapema.
 
Subiri baada ya masaa 48,baada ya hapo,kama hawatacheza watarefund hela yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…