Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aya wale wazee wakutoa bonus ya bure bila sharti la kustake ukijiunga na kampuni husika.

Naomben muongozo muhimu isiwe kampuni yakitapeli nataka niwapime kabla sijaanza kustake madau.

Sisi wengine tunastake tumizigo kidogo sasa tukikutana na matapeli watanisumbua.
 
Angalizo ukinipa hiyo bonus lazima nile sasa usije kunipa bonus mkagoma kulipa hela.
 
-6xtdto.jpg

Code👉 5DMH8

Tumia Promo Code👉 TIPS2424 Upate 300,000 Ya Ukaribisho.

Jisajili PariPesa Kupitia Link Hizo Hapo Chini ⤵️

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code 👉 TIPS2424

Join Telegram 👉
https://t.me/+ov-lQGkvBC9mNWU8
 
Angalizo ukinipa hiyo bonus lazima nile sasa usije kunipa bonus mkagoma kulipa hela.
Mkuu sio kwamba ukijiunga tu unapewa 300k 😂😂😂

Bonus utapewa kulingana na kiasi utakacho deposit mara ya kwanza na lazima kiwe kuanzia sawa na pound moja
So ukideposit 10k utapewa bonus 10k.
Ukideposit 100k utapewa bonus 100k.
Mwisho ni 300k utapewa 300k.
Hata Ukideposit 1000k au zaidi utapewa 300k kiwango cha mwisho

Masharti ya bonus ni lazima ui stake hiyo bonus mara 3 kwenye mkeka wao game 3 na kila game odd zianzie 1.7

Mfano ukipewa bonus ya 10,000
Unatakiwa utengeneze mkeka wa timu tatu kila game odd kuanzi 1.7..... na LAZIMA mkeka u win
Uki win unatengeneza mwingine tena hadi uhakikishe jumla ya stake ni 10,000x3 = 30,000

Uki win hapo ndio unawekewa 10K kwenye acc yako na unaweza kuitoa

Kui win hii bonus ni next to impossible aisee 😂
 
Hii siyo pesa ya supu na bia kweli
 

Attachments

  • Screenshot_20250426-192357_SportyBet.jpg
    Screenshot_20250426-192357_SportyBet.jpg
    99.1 KB · Views: 21
1xbet payment method wameongeza NMB na CRDB.
Yasije kuwa ya VISA unawithdraw halafu pesa inafika baada ya siku 5.
 
One day yes sh180 tu nangojea mil 24 na flex2
 

Attachments

  • Screenshot_20250426-193420_SportyBet.jpg
    Screenshot_20250426-193420_SportyBet.jpg
    80 KB · Views: 24
Prime betting tips app kwa wale Wa odds 2 hadi 10 hii app kiboko Kati ya mikeka 5 mitatu lazima iwini na wanatoa mkeka mmoja kila siku ila kabla ya kukurupuka jiridhishe kwanza ukiwaamini zingatia maokoto wekeza kisichouma
 
Prime betting tips app kwa wale Wa odds 2 hadi 10 hii app kiboko Kati ya mikeka 5 mitatu lazima iwini na wanatoa mkeka mmoja kila siku ila kabla ya kukurupuka jiridhishe kwanza ukiwaamini zingatia maokoto wekeza kisichouma
Weka picha ya hyo app tuione
 
Porto anafanya yake huko. mechi yake muhimu ya kumuweka nafasi nzuri, anachocheza hakijulikani.

keshashindiliwa 2-0 na dakika zinayoyoma. betting unaweza kudata ujue!!
 
View attachment 3316336
Code👉 5DMH8

Tumia Promo Code👉 TIPS2424 Upate 300,000 Ya Ukaribisho.

Jisajili PariPesa Kupitia Link Hizo Hapo Chini ⤵️

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code 👉 TIPS2424

Join Telegram 👉
https://t.me/+ov-lQGkvBC9mNWU8
qflwxj.jpg

BOOOOMMMM 🔥🔥✅✅✅✅✅

4.2 ODDS BOOOM 🏆✅✅✅✅✅

1.5 MILLION WON ✅✅✅✅✅

Jiunge PariPesa Kupitia Link Hizo Hapo Chini ⤵️

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code👉 TIPS2424

Tumia Promo Code👉 TIPS2424 Kujisajili, Kisha Deposit Upate Bonus Ya 300,000.
 
Back
Top Bottom