Angalizo ukinipa hiyo bonus lazima nile sasa usije kunipa bonus mkagoma kulipa hela.
Mkuu sio kwamba ukijiunga tu unapewa 300k πππ
Bonus utapewa kulingana na kiasi utakacho deposit mara ya kwanza na lazima kiwe kuanzia sawa na pound moja
So ukideposit 10k utapewa bonus 10k.
Ukideposit 100k utapewa bonus 100k.
Mwisho ni 300k utapewa 300k.
Hata Ukideposit 1000k au zaidi utapewa 300k kiwango cha mwisho
Masharti ya bonus ni lazima ui stake hiyo bonus mara 3 kwenye mkeka wao game 3 na kila game odd zianzie 1.7
Mfano ukipewa bonus ya 10,000
Unatakiwa utengeneze mkeka wa timu tatu kila game odd kuanzi 1.7..... na LAZIMA mkeka u win
Uki win unatengeneza mwingine tena hadi uhakikishe jumla ya stake ni 10,000x3 = 30,000
Uki win hapo ndio unawekewa 10K kwenye acc yako na unaweza kuitoa
Kui win hii bonus ni next to impossible aisee π