Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo staki mambo mengi nataka niangalie game kwa kutulia bila presha za betting

Stake what you can afford to lose 🙏
Done ✅

Ngoja sasa niugulie maumivu ya Arsenal kutolewa
 
TTATIZOOO MIDOMOOO
 

Attachments

  • 1000001277.jpg
    38.3 KB · Views: 25
  • Screenshot_20250507-235454.jpg
    257.7 KB · Views: 17
  • GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg
    11 KB · Views: 24

759K WON 🔥🔥✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅

2.17 ODDS BOOOM 🏆✅✅✅✅

Huna Akaunti Ya PariPesa? Jiunge PariPesa Kupitia Link Hizo Hapo Chini ⤵️

cutt.ly/hwKXFbXz

cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code👉 TIPS2424

Tumia Promo Code👉 TIPS2424 Upate Bonus Ya mpaka 300,000.
 
Watoto wa mjini wanakwambia ukiwa na sura haivutii na pochii hainukii hauwezi kujua maarifa ya penzi labda kidogo kitu unacho unaweza kujua ni maarifa ya jamiii🙂, Maaana yangu ni kuwa Pesa ndio kila kitu kwa sasa, pesa ndio mchongo na ndio maana unasikia wahenga walisema Pesa ndio sabuni ya roho, ukiwa huna pesa unaweza pigwa kofi hata na mdogo wako na ukasema kofi lako zuri mdogo wangu🤣

Kuepukana na fedheha zote hizo Wadau mimi kama chief, leo nawapa njia rahisi tuu ya kuziepuka hizo fedheha ndogo ndogo za bei rahisi, NIna jamvi langu hapa limenyoka sana, halina longo longo inshort pesa iko njeee...wewe kama una buku au una jero au hata una li teni limezagaa zagaa hapo jaribu kutia hapa, https://sokabet.co.tz/Sports/Altenar?reservationCode=P8OQV Badae lazima ule chips kidali na pepsi baridi kama ukizingatia

Nilikuwepo na nayeyuka kama upepo, kazi yangu kuwapa michongo ya pesa....leo mchongo ni mkeka ila kesho ntakuja na mchongo mwingine sasa huo wa kesho aloooooo, we andaa tuu maji baridi na akili yako, nasemaje tusipo tajirika mwaka huu bhasi hatutajiriki tena, michongo ni mingi sana kama huna watu wa kukupa bhasi mtu mwenyewe ndio mimi
 
Mimi laki tatu imebaki dbbet nimeshindwa jinsi ya kuitoa maana mobile payments zimetolewa

Tanzania hakuna wakala wa DBBET?
Mkuu hata mimi kuna hela DBBet ila nashindwa kutoa kwa sababu wametoa njia za kutoa. Niliwas nao wanasema kuna tatizo la kiufundi na muda si mrefu itakuwa poa. Nadhani kuna ishu ya mikataba ya malipo kwa njia ya simu wapo wanakubaliana.
 
Mkuu hata mimi kuna hela DBBet ila nashindwa kutoa kwa sababu wametoa njia za kutoa. Niliwas nao wanasema kuna tatizo la kiufundi na muda si mrefu itakuwa poa. Nadhani kuna ishu ya mikataba ya malipo kwa njia ya simu wapo wanakubaliana.
Na mimi waliniambia hivyo ikabidi niwe mpole tu
Sasa hivi sitaki hata niibetie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…