Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

-b4gcuo.jpg

5.4 ODDS ♻️♻️

Code👉 9NS8C

Jisajili PariPesa Kwenye Link Hizi⤵️.

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code 👉 TIPS2424

Weka Promo Code👉 TIPS2424 Upate Bonus Ya Mpaka 300,000

♻️Manchester United vs Athletic Bilbao
Manchester United Total Corners - Over 3.5

♻️Manchester United vs Athletic Bilbao
Total Goals Over 1.5

♻️Bodo-Glimt vs Tottenham Hotspur
Tottenham Hotspur Total Corners - Over 3.5

♻️Bodo-Glimt vs Tottenham Hotspur
Total Goals Over 1.5

♻️Chelsea - Djurgardens
2 Half Total Corners Over - 3.5

♻️Fiorentina vs Real Betis
Brace - No
 
Kwan Kuna utofaut WA hayo makampun na haya ya nyumban
Kuna utofauti mkubwa sana.
Wao hawana kodi, wana option nyingi, bonus nene kukupa laki 4 hawaoni shida lakini payment method wanabadilisha sana na kuondoa kwa muda mrefu kwa sababu hawaoperate kwa halali.

Ukishaona kampuni ina uhusiano wa kusajiliwa Curacao ujue kucheza nao kwa akili.
Nasikia kule kutoa leseni za betting za kimataifa hawana masharti magumu ndio maana haya makampuni yanaendesha huduma zao nchi nyingi kwa njia za panya, ukipigwa hakuna kwa kulalamika.
 
Hilo ni kweli sasa hivi nitakapoona wamerejesha mobile payment naitoa chap

nawakimbia kama Langa
 
Hao janjajanja sana. Kwa sasa makampuni ya mrusi bora kidogo 1xbet ingawa ndio wanakata 10% na sijui wanapeleka wapi. Ambao hawakati kodi kuna melbet, megapari, 888starz maana wana mawakala hata wakiondoa mobile payment unahamia kwa wakala.

Tena huyo DBbet Kuna ndugu zetu hapahapa walikuwa wanampigia chapuo tujiunge sasa hivi wapo kimya.
 
Mimi nabetia meridian bet na sporty bet sihangaiki na makampuni ya mrusi sababu hamna option rahisi kwenye gambling Bali watu wanapotea mda na pesa zao kwenye hayo makampuni ya mrusi kwanza app zao zinakula mb sio mchezo
 
Kuhusu option mrusi hana mpinzani, kwanza sio mwoga wa kuliwa.
Mechi yenye over 0.5 kwa mrusi unakuta sportpesa wameanza na over 1.5.

Ukitaka kubeti 3 ways kwa 1H hiyo option haipo kwa baadhi ya timu sportpesa.

Team 1, result and total 1H haipo sportybet na huwa inatoa sana kwa timu zenye nguvu na ina odds nzuri. Kuna jamaa zangu kijiweni wakitaka kubeti hiyo option huwa wanakuja kwangu maana wao wamekunywa maji ya bendera ya sportybet na hiyo option hawana.

Kuhusu mrusi kula sana bundle sijawai kuchunguza.
 
Hamna option rahisi mzee hata iwe 0.5 ni ngumu tena sana inaweza isitoe vile vile ingekua rahisi huyo mrusi angeshafirisika
 
🚀🚀
Man U vs athletic...GG
Bodo vs spurs...home/draw
Fiorentina vs betis...handicap (0:2)
Chelsea vs dijurgarden...away over 0.5
Bristol city vs Sheffield...under 3.5 goals
Total odds 6.9
 
Kwahiyo hiyo option utashinda Kila siku ingekua rahisi hivyo ungeshakua tajiri narudia tena hamna option rahisi mzee
Mimi sijasema ni option rahisi nimesema option zinazidiana ugumu

mf. liverpool v arsenal
mimi nikimpa liverpool direct win, na wewe ukampa liverpool handicap ya goal +4
wewe una asilimia kubwa ya kula kuliko mimi😄😂
 
Back
Top Bottom