Kuna utofauti mkubwa sana.Kwan Kuna utofaut WA hayo makampun na haya ya nyumban
Hilo ni kweli sasa hivi nitakapoona wamerejesha mobile payment naitoa chapKuna utofauti mkubwa sana.
Wao hawana kodi, wana option nyingi, bonus nene kukupa laki 4 hawaoni shida lakini payment method wanabadilisha sana na kuondoa kwa muda mrefu kwa sababu hawaoperate kwa halali.
Ukishaona kampuni ina uhusiano wa kusajiliwa Curacao ujue kucheza nao kwa akili.
Nasikia kule kutoa leseni za betting za kimataifa hawana masharti magumu ndio maana haya makampuni yanaendesha huduma zao nchi nyingi kwa njia za panya, ukipigwa hakuna kwa kulalamika.
Hao janjajanja sana. Kwa sasa makampuni ya mrusi bora kidogo 1xbet ingawa ndio wanakata 10% na sijui wanapeleka wapi. Ambao hawakati kodi kuna melbet, megapari, 888starz maana wana mawakala hata wakiondoa mobile payment unahamia kwa wakala.Hilo ni kweli sasa hivi nitakapoona wamerejesha mobile payment naitoa chap
nawakimbia kama Langa
Mimi nabetia meridian bet na sporty bet sihangaiki na makampuni ya mrusi sababu hamna option rahisi kwenye gambling Bali watu wanapotea mda na pesa zao kwenye hayo makampuni ya mrusi kwanza app zao zinakula mb sio mchezoHao janjajanja sana. Kwa sasa makampuni ya mrusi bora kidogo 1xbet ingawa ndio wanakata 10% na sijui wanapeleka wapi. Ambao hawakati kodi kuna melbet, megapari, 888starz maana wana mawakala hata wakiondoa mobile payment unahamia kwa wakala.
Tena huyo DBbet Kuna ndugu zetu hapahapa walikuwa wanampigia chapuo tujiunge sasa hivi wapo kimya.
Kuhusu option mrusi hana mpinzani, kwanza sio mwoga wa kuliwa.Mimi nabetia meridian bet na sporty bet sihangaiki na makampuni ya mrusi sababu hamna option rahisi kwenye gambling Bali watu wanapotea mda na pesa zao kwenye hayo makampuni ya mrusi kwanza app zao zinakula mb sio mchezo
Hamna option rahisi mzee hata iwe 0.5 ni ngumu tena sana inaweza isitoe vile vile ingekua rahisi huyo mrusi angeshafirisikaKuhusu option mrusi hana mpinzani, kwanza sio mwoga wa kuliwa.
Mechi yenye over 0.5 kwa mrusi unakuta sportpesa wameanza na over 1.5.
Ukitaka kubeti 3 ways kwa 1H hiyo option haipo kwa baadhi ya timu sportpesa.
Team 1, result and total 1H haipo sportybet na huwa inatoa sana kwa timu zenye nguvu na ina odds nzuri. Kuna jamaa zangu kijiweni wakitaka kubeti hiyo option huwa wanakuja kwangu maana wao wamekunywa maji ya bendera ya sportybet na hiyo option hawana.
Kuhusu mrusi kula sana bundle sijawai kuchunguza.
option zinatofautiana ugumu,Hamna option rahisi mzee hata iwe 0.5 ni ngumu tena sana inaweza isitoe vile vile ingekua rahisi huyo mrusi angeshafirisika
Ingekua rahisi ungekua umeshawafirisi hamna option rahisi ndio maana hapo umestake 5000option zinatofautiana ugumu,
hizi huzipati kwa makampuni ya bongo
View attachment 3328218View attachment 3328219
5k si ndio uwezo wanguIngekua rahisi ungekua umeshawafirisi hamna option rahisi ndio maana hapo umestake 5000
wamezirejesha mobile payment nenda uchukue chako, mimi nimeitoa sasa hiviNdiyo mkuu. Tuwe wavumilivu, itakuwa poa tu. Hata 888STARZ ilisumbua ila sasa hivi iko poa.
Kwahiyo hiyo option utashinda Kila siku ingekua rahisi hivyo ungeshakua tajiri narudia tena hamna option rahisi mzee5k si ndio uwezo wangu
Mimi sijasema ni option rahisi nimesema option zinazidiana ugumuKwahiyo hiyo option utashinda Kila siku ingekua rahisi hivyo ungeshakua tajiri narudia tena hamna option rahisi mzee
pin ya pesaKwenye PariPesa au? Na Ukideposit Unapokea Ujumbe gani
Uliweka pin gani mkuu? Umesahau password ya kulog in PariPesa au umesahau pin ya M-Pesa au Airtel nk?nikieka
pin ya pesa