Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wapumbavu wa sisiemu msichukue code ndiyo mnatina kimavi mikeka inachanika siyo bure ...kwanini tukipost code zinachanika hatua mbili tatu tu 😁 odds 200 sportybet

69SU3F
 

Attachments

  • Screenshot_20250510-102311_SportyBet.jpg
    102 KB · Views: 27
Watu siyo makini kwenye flavour option zako epuka kuweka option dhaifu au zenye maana moja mfano hapo ni sahihi kuweka home over 0.5 au away over 0.5 kuliko kutumia (home oll gg) au (away all gg) maana ya hizi option ni moja hazina tofauti ila ukiweka home all gg odds zinapungua kidogo ni bora kuweka over
 

Attachments

  • Screenshot_20250510-105310_SportyBet.jpg
    100.3 KB · Views: 26
Southampton kashuka na kakijiji kake alaf city alikuwa na odds za masimango
Inanikumbusha fulham kati ya mwaka 2019 au 20 wakiwa na wachezaji mmoja wao anaitwa sijui Babel! mechi ya mwisho alicheza na man u, ile ngoma ilikuwa haina faida lakini alipiga kama yupo fainali na kwa kweli alifanikiwa kufa na mikeka yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…